Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Status
Not open for further replies.
Hehehe asante kwa kuniita ila ni maeneo gani ya Kenya nami nipite pite huko walau nipate mademu wa kunibaka. Afu watatu wote, yaani raha tu kwa kweli.... Mimi hata wasipate tabu ya kuninywesha cocaine, tunakwenda mazima mazima tu.
Hahaha
 
Matukio mengine hadi unaona wivu

Mbona mimi kina dada hamni baki

Njooni mnibake jamani nipo hapaaaa

Mje hata sita fresh tuuuuuuu

Sipati picha raha aliyopata prezoooo daaaah

Ni bonge la zali endapo liwe kama tunavyowaza, usikute chumba walichomkuta akibakwa wamekuta na dildo
 
Antenna haiwezi simama ukiwa umezima heheheh....vumbi lazima lilihusika na ndio itakuwa ilipandisha mapigo ya moyo akazima

Yawezekana ilivyokuwa "on" japo alizima lakini walikuiwa wanaipandilia wenyewe na kufanya yao!
Shenzi sana hao wadada! hahahahah
 
Mwanamuziki wa kutoka Nairobi Jackson Ngechu Makini maarufu kama 'Prezzo' anadaiwa kufikishwa katika Hospitali ya Karen baada ya kudungwa sindano yenye dawa za kulevya kisha kubakwa na kundi la wanawake katika chumba cha hoteli inayopatikana katika Jiji la Nairobi.

Aidha, taarifa kutoka polisi zinaeleza kuwa wanawashikilia wanawake watatu Vivian Mutheu, Patricia Nduta na Ruth Muchana wanaohisiwa kuhusika na uhalifu huo.

Prezzo_.jpg

====
Nairobi. Kenyan rapper and former Big Brother Africa contestant Prezzo is said to be recuperating at Karen hospital after he was drugged and gang raped by three women in a hotel room in Nairobi.

Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ is reported to have been injected with an overdose of cocaine and Viagra before meeting the untimely twist of events.

Sources say Police in the Kenyan capital are holding the three women for questioning regarding the incident.

“The three women Vivian Mutheu, Patricia Nduta and Ruth Macharia are the suspects behind the evil act and are business partners to the singer,” a police officer at Karen Police Station confirmed.

Cases of male musicians using stimulants to boost their bedroom prowess are rampant in the country. In recent months, Willy Paul was admitted in a Nairobi hospital after he overdosed on spectra, which is 14 times more powerful than Viagra.

Prezzo was some time back rumoured to have been dating Tanzanian singer Amber Lulu, a relationship that ended after she was accused of cheating on the Kenyan rapper.


Chanzo: The Citizen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom