Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Yeah,kale ka calissah si alikua anakahonga,wema sio mchoyo ndo maana anafuga mashoga wa kutosha.

Mashosti kwa kufahamu udhaifu wake walimtumia ipasavyo.
Kwahiyo Wema kuhonga kawaida yake or??

Hivi kuna mwanamke dunia hii anapenda kitu chake kiliwe hivi hivi???
Nimeshajibu,what next?
akikujibu niite
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 huyo itakua ni wale vijana wa kile chama cha pale kinondoni kilichopo mtaaa wa jina la kabila moja la kule nyanda za juu kusini ....... ukute anakaa kwa shemeji yake 😎😎
Mwanamboka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
If you are a SELL OUT wakikutumia wakakuchoka wanakupa magonjwa ya ajabuajabu ili wakikuua (sacrifice) watu wasijue
 

Attachments

  • 055b9bb0915feaed4313159fdfdd1c59.jpg
    055b9bb0915feaed4313159fdfdd1c59.jpg
    38.4 KB · Views: 38
  • Selena Gomez Tattoo.jpg
    Selena Gomez Tattoo.jpg
    13.4 KB · Views: 46
  • Selena-Gomez-list-of-illuminati-members.jpg
    Selena-Gomez-list-of-illuminati-members.jpg
    41.4 KB · Views: 35
  • shh.png
    shh.png
    89.8 KB · Views: 25
Wenzetu kila kitu kina daktari wake...!!!huku kwetu shida tupu
Nani kakwambia huku hakuna vitengo maalum kama hivyo vya tiba ya afya ya akili?. Hii ni Tanzania mpya kama unabeba box umeachwa mbali na maisha halisi ya huku nyumbani.............. samahani sana mkuu ila hakuna namna ila kujibu kwa lugha hii
 
Pole zake au habari za bieber kuchumbia zinampelekesh
 
Selena hanaga bahati na mapenzi...mdada mzuri lkn wanaume wanambwaga kama hawana akili nzuri!..JB anaenda kuoa kituko eti lazima adate!


Ku-handle pesa nyingi, umaarufu, na masharti ya Freemason sio kitu rahisi, lazma udate. Huwezi jua mtu ame-sacrifice nini ili kupata mafanikio alio nayo witnessj adden
 
Back
Top Bottom