witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
KaribuuAhh sawa mkuu,nimekumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuuAhh sawa mkuu,nimekumbuka
Numbi, SG alianzaga kudata zamani toka kumwagwa na JB...figo na maradhi mengine ni kawaida kwa mwanadamu lkn kudata zaidi kumetokana na huyo huyo JB
Haaahaaa....hana ujanja wa kummwaga sema tu jamaa alikuwa haeleweki kwake
Acha uongo ulikua baloz nn wa mapenzi yao??Haaahaaa....hana ujanja wa kummwaga sema tu jamaa alikuwa haeleweki kwake
[emoji23] [emoji23] ndio mkuuAcha uongo ulikua baloz nn wa mapenzi yao??
Na hiyo utabisha my?[emoji15] [emoji15] ..Riri anampenda Brown mpaka kesho jamaa kichaa tu na hamtaki huyo kicheche ndio maana!Wit bana ,ujanja anao . ni kama rihana na brown mbona mpaka bidada akamove on ila watu hawakuamini na kusingizia chris ndo kamfungia vioo
Witness ntaku PM leo na uyo mwenzio.[emoji23] [emoji23] ndio mkuu
Na hiyo utabisha my?[emoji15] [emoji15] ..Riri anampenda Brown mpaka kesho jamaa kichaa tu na hamtaki huyo kicheche ndio maana!
Yaani ni sawasawa uniambie Wema kamove on kwa Domo while jamaa ana mambo yake!
Mademu wanajiongeza kwa maumivu makali hivoo
Wema hamtaki Domo????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Riri keshamove kamsahau brown kitambo,angetaka kumrudia angerudi kwa gia yoyote tu
Wema hampendi dai ila tamaa ya pesa na umaarufu wa dai wa ssasa ndo vinavyomvuta madale.
Kuna wanawake wa shoka wakiamua ts ova ni imetoka hio.
Wema pale kazimikia bana.... Sasa hayo maslahi anayapatia wapi wakati hata kipindi kile yuko na Clement anahongwa na yy anamuhonga Domo??Cheka hata kihindi wanawake tunajifahamu wenyewe. Binti anafata maslah pale sio mapenzi ya dhati
Shida gani??? Wao ndo wanashida mtuu anauwezo mkubwa wa kifeza kuliko ata maraisi lakini bado ana msongo wa mawazo .. wapimwe tu mkojo ... proud to be african ...Wenzetu kila kitu kina daktari wake...!!!huku kwetu shida tupu
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]si uhamie huko sasa huku unafanya nini ....
Ujinga wangu Upi..barikiwa kaka angu!jua nakuheshimu tu!labda huko uliko!
Tanzania we have the best mental disorders hospital walahi
Tembea utoe matongotongo walahi
Umevurugwa wewe...kila kitu siasa...kaaaj!😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 huyo itakua ni wale vijana wa kile chama cha pale kinondoni kilichopo mtaaa wa jina la kabila moja la kule nyanda za juu kusini ....... ukute anakaa kwa shemeji yake 😎😎
Sawa but je maskini kama miye can I afford them...!!!!My dear walahi sisemi uwongo kina doctor mbatia, kilonzo na wengine wengi sana sana wamejaa pale muhimbili walahi
Kwa kweli nakwambia hakuna kitu utakacho kosa hapa duniani kama uki focus, ubaya wa watu wengi wamejaa kukata tamaa na kujidharau , wazee wengi haswa kwenye kile kituo cha Kigamboni wanapata hiyo huduma bila matatizo walahi
Kuwa na pesa hakukuondolei msongo wa mawazo aisee.Shida gani??? Wao ndo wanashida mtuu anauwezo mkubwa wa kifeza kuliko ata maraisi lakini bado ana msongo wa mawazo .. wapimwe tu mkojo ... proud to be african ...