Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Alikua anasumbuliwa na figo ,rafiki wa karibu akajitolea kumpa figo,nadhani mawazo mengi na hali ya ugonjwa ilikua inamsumbua kabla na baada ya opateshen. Daah binti mdogo ana hela ila sasa matatizo yamemuandama sana
Kwa mwonekano wa haraka alianza kuumwa siku nyingi Ila umaarufu ulimficha...
Angalia style ya nywele
Angalia sketi
Angalia viatu
Angalia pose
 
Alikua anasumbuliwa na figo ,rafiki wa karibu akajitolea kumpa figo,nadhani mawazo mengi na hali ya ugonjwa ilikua inamsumbua kabla na baada ya opateshen. Daah binti mdogo ana hela ila sasa matatizo yamemuandama sana
Kapigwa kipapai cha west Africa...wazungu wachawi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boss wako anahitaji ushauri nasaha ila sasa inawezekana hamuamini mtu yoyote kutunza au kumwambia siri zake
Mazafanta kbss,
Kama huyu boss wangu kila siku anataka ajiue na benki ana zaidi ya dola mil2..yaani tunakaa nae tunalewaaaa mwisho anataka kujiua,,,asee mi nna hiyo kimango benki naenda kisiwa cha malta huko nakula bata nikirudi nakuwa na ham ya kuishi tena
 
Watu aina yako mnashangazaga sana. Dogo kuna jamaa muislam kabisa msimamo wa maana na bado anaumwa. Dini ni imani yako tu. Mengine tuwaachiege wataalamu
Pole Selena Gomez hujafa hujaumbika,Kabla hujafa silimu Ingia kwenye Uislamu Dini sahihi Ulimwenguni kote,Inshaallah utapona. View attachment 894666
 
Hamna bana binti anaumwa usicheze na figo maumivu makali sana. Na masharti yake baada ya kupona inaonekana hapo ndo panamshinda
Hailey Baldwin hafikii hata robo kwa uzuri wa Selena asee!.... The lady snatch her life soul partner lazima adate na anaweza hata kufa!....Selena anampenda JB kufaaa[emoji22] [emoji22] ...namuonea huruma
 
Hamna bana binti anaumwa usicheze na figo maumivu makali sana. Na masharti yake baada ya kupona inaonekana hapo ndo panamshinda
Numbi, SG alianzaga kudata zamani toka kumwagwa na JB...figo na maradhi mengine ni kawaida kwa mwanadamu lkn kudata zaidi kumetokana na huyo huyo JB
 
Hailey Baldwin hafikii hata robo kwa uzuri wa Selena asee!.... The lady snatch her life soul partner lazima adate na anaweza hata kufa!....Selena anampenda JB kufaaa[emoji22] [emoji22] ...namuonea huruma
Sorry mkuu ,JB ndo nan?
 
Back
Top Bottom