Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Wit bana ,ujanja anao . ni kama rihana na brown mbona mpaka bidada akamove on ila watu hawakuamini na kusingizia chris ndo kamfungia vioo
Haaahaaa....hana ujanja wa kummwaga sema tu jamaa alikuwa haeleweki kwake
 
Wit bana ,ujanja anao . ni kama rihana na brown mbona mpaka bidada akamove on ila watu hawakuamini na kusingizia chris ndo kamfungia vioo
Na hiyo utabisha my?[emoji15] [emoji15] ..Riri anampenda Brown mpaka kesho jamaa kichaa tu na hamtaki huyo kicheche ndio maana!

Yaani ni sawasawa uniambie Wema kamove on kwa Domo while jamaa ana mambo yake!

Mademu wanajiongeza kwa maumivu makali hivoo
 
Riri keshamove kamsahau brown kitambo,angetaka kumrudia angerudi kwa gia yoyote tu

Wema hampendi dai ila tamaa ya pesa na umaarufu wa dai wa sasa ndo vinavyomvuta madale.

Kuna wanawake wa shoka wakiamua ts ova ni imetoka hio.
Na hiyo utabisha my?[emoji15] [emoji15] ..Riri anampenda Brown mpaka kesho jamaa kichaa tu na hamtaki huyo kicheche ndio maana!

Yaani ni sawasawa uniambie Wema kamove on kwa Domo while jamaa ana mambo yake!

Mademu wanajiongeza kwa maumivu makali hivoo
 
Riri keshamove kamsahau brown kitambo,angetaka kumrudia angerudi kwa gia yoyote tu

Wema hampendi dai ila tamaa ya pesa na umaarufu wa dai wa ssasa ndo vinavyomvuta madale.

Kuna wanawake wa shoka wakiamua ts ova ni imetoka hio.
Wema hamtaki Domo????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Nacheka kirundi hahaaa
 
Cheka hata kihindi wanawake tunajifahamu wenyewe. Binti anafata maslah pale sio mapenzi ya dhati
Wema hamtaki Domo????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Nacheka kirundi hahaaa
 
Cheka hata kihindi wanawake tunajifahamu wenyewe. Binti anafata maslah pale sio mapenzi ya dhati
Wema pale kazimikia bana.... Sasa hayo maslahi anayapatia wapi wakati hata kipindi kile yuko na Clement anahongwa na yy anamuhonga Domo??
 
Pole kwake

Kwanini wenzetu mwisho wao hua depression jamani?
 
Wenzetu kila kitu kina daktari wake...!!!huku kwetu shida tupu
Shida gani??? Wao ndo wanashida mtuu anauwezo mkubwa wa kifeza kuliko ata maraisi lakini bado ana msongo wa mawazo .. wapimwe tu mkojo ... proud to be african ...
 
labda huko uliko!
Tanzania we have the best mental disorders hospital walahi
Tembea utoe matongotongo walahi
Ujinga wangu Upi..barikiwa kaka angu!jua nakuheshimu tu!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 huyo itakua ni wale vijana wa kile chama cha pale kinondoni kilichopo mtaaa wa jina la kabila moja la kule nyanda za juu kusini ....... ukute anakaa kwa shemeji yake 😎😎
Umevurugwa wewe...kila kitu siasa...kaaaj!

Jiheshimu mwanaume kua mwanaume usiwe mbea mbea...hiii jf !!!
 
My dear walahi sisemi uwongo kina doctor mbatia, kilonzo na wengine wengi sana sana wamejaa pale muhimbili walahi
Kwa kweli nakwambia hakuna kitu utakacho kosa hapa duniani kama uki focus, ubaya wa watu wengi wamejaa kukata tamaa na kujidharau , wazee wengi haswa kwenye kile kituo cha Kigamboni wanapata hiyo huduma bila matatizo walahi
Sawa but je maskini kama miye can I afford them...!!!!

Hao madaktari
 
Shida gani??? Wao ndo wanashida mtuu anauwezo mkubwa wa kifeza kuliko ata maraisi lakini bado ana msongo wa mawazo .. wapimwe tu mkojo ... proud to be african ...
Kuwa na pesa hakukuondolei msongo wa mawazo aisee.
 
Back
Top Bottom