TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa. Amefariki akiwa na umri wa miaka 64.

Pia soma -> Historia ya Tshala Muana

Mume wa Tshala, Claude Mashala alithibitisha kifo chake katika chapisho la Facebook. ""In the early hours of this morning, the good Lord made the decision to take over the national Mamu Tshala Muana. May the good God be glorified for all the good times she has given us on this earth. Farewell Mamu from m," he posted..

Mashala hakutoa maelezo kuhusu chanzo cha kifo cha Mkewe. Marehemu Muana anajulikana kwa nyimbo kadhaa zilizovuma katika bara zima. Wimbo wake wa Karibu Yangu ni moja ya nyimbo maarufu ambazo zimemfanya avutiwe kote ulimwenguni.


View attachment 2441700View attachment 2441701

BAADHI YA NYIMBO ZAKE MAARUFU




Kusema ukweli hizo nyimbo huwa nazisikiaga ila sikuwah kumjua mwimbaji wake hata kwa sura..
Nyimbo zake zilikuwa nzuri sana.
Mbele yake nyuma yetu..Amin🤲
 
Back
Top Bottom