TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

[emoji444]"Unipeleke kwa baba akakupatie mali tufunge ooooh ndoa ya lote, mupenzi oooh karibu yangu [emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]" [emoji445]

R.I.P
Mm nyimbo za rhumba nijazipenda mno ninazo za wasanii kadhaa kama vile François, madilu,ndombe opetum,Isaac musekiwa,simaro lutumba,mpongo love,Jollie detta,Vicky longomba,Sam mangwana,tabu ley NK
Rhumba is my best music
 
Rest In Peace
IMG_1290.jpg
 
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa. Amefariki akiwa na umri wa miaka 64.

Pia soma -> Historia ya Tshala Muana

Mume wa Tshala, Claude Mashala alithibitisha kifo chake katika chapisho la Facebook. ""In the early hours of this morning, the good Lord made the decision to take over the national Mamu Tshala Muana. May the good God be glorified for all the good times she has given us on this earth. Farewell Mamu from m," he posted..

Mashala hakutoa maelezo kuhusu chanzo cha kifo cha Mkewe. Marehemu Muana anajulikana kwa nyimbo kadhaa zilizovuma katika bara zima. Wimbo wake wa Karibu Yangu ni moja ya nyimbo maarufu ambazo zimemfanya avutiwe kote ulimwenguni.

View attachment 2441700View attachment 2441701

BAADHI YA NYIMBO ZAKE MAARUFU

R. I. P Tshala Muana. I happened to be your music Fan at sometimes. May your soul rest in peace Mama.
 
Unihurumie, hurumieee
Nakulilia uniteee
Unipeleke kwa mama
Atatupatia mali
Tufunge oh, ndoa ya loteee
Mpenzi oh, mimi na weweee
Ndoa oh, ndoa ya loteee

Karibu oh, Karibu yanguuu 💃🕺💃🕺
 
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa. Amefariki akiwa na umri wa miaka 64.

Pia soma -> Historia ya Tshala Muana

Mume wa Tshala, Claude Mashala alithibitisha kifo chake katika chapisho la Facebook. ""In the early hours of this morning, the good Lord made the decision to take over the national Mamu Tshala Muana. May the good God be glorified for all the good times she has given us on this earth. Farewell Mamu from m," he posted..

Mashala hakutoa maelezo kuhusu chanzo cha kifo cha Mkewe. Marehemu Muana anajulikana kwa nyimbo kadhaa zilizovuma katika bara zima. Wimbo wake wa Karibu Yangu ni moja ya nyimbo maarufu ambazo zimemfanya avutiwe kote ulimwenguni.

View attachment 2441700View attachment 2441701

BAADHI YA NYIMBO ZAKE MAARUFU

Kwani amekufa tena mi najua alishakufa siku nyingi
 
Back
Top Bottom