TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
images.jpg

Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.

===

Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi.

"Nimeongea na Domokaya analia tu hawezi hata kuongea vizuri, anasema tu Mandojo, Mandojo Soggy Doggy Anter ambae nimeongea nae na kuthibitisha kutokea kwa msiba huu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiun

Tunaendelea kufatilia taarifa zaidi

DJ FETTY
 
View attachment 3066818

Aiseee juzi juzi tu alikuwa kwa tajiri wa Mulokozi ,haya mambo ya kuitiana MWIZI ni hatari sana.
 
View attachment 3066818

Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.

===

Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi.

"Nimeongea na Domokaya analia tu hawezi hata kuongea vizuri, anasema tu Mandojo, Mandojo Soggy Doggy Anter ambae nimeongea nae na kuthibitisha kutokea kwa msiba huu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiun

Tunaendelea kufatilia taarifa zaidi

DJ FETTY
Aisee hii hatari.
nitakumbuka sana kwenye ile ngoma ya we nenda, wakati mmeungana na squeezer kuunda kundi la 3D producer lamar ndani ya fish club records. Halafu na ile wanok nok.
 
Back
Top Bottom