Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Nafkir wanafanya hivyo kuondoa bad publicity,Lakini sasa kwa bahati mbaya kutokana mazingira ya kifo cha mandojo lazima kuna kitu kimoja kitakua ni sahihi kwa haya yanayozungumzwa, Either changamoto ya akili au mwizi,Kama kaka yake tumbo moja anayemjua nje ndani amesema hakuwa na changamoto ya akili wewe ni nani useme alikuwa na changamoto ya akili?
ila mimi nahisi zaidi changamoto ya akili ndo ilimfanya akaenda huko kwenye banda la mbwa
Note:
Kama story tunayoiskia ni ya kweli