TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Mihemuko tu ya kelele za mwizi
Kuna watu wanatokeaga tu na kuanza kupiga, hawajui kisa wala sababu wao ni kupiga tu

Ova
Hii kitu hua naogopa mno, kumkuta mtu anapigwa na ww kuanza kupiga hapana aisee
 
Hii kitu,kimbelembele huwa mbaya sana
Kuna mtu ndugu yake aliuwawa style hiyo hiyo..ya uwizi
Ndugu wakasema fine baada ya muda na wao ndugu wakafungua
Kesi ya mauaji ya waliyompiga hadi kumuua ndugu yao,hapo kitaa watu walikimbia maana wao walikuwa wanatafutwa,wapeww kesi ya mauaji

Mnakuja kubebwa wote kizembe tuu kisa ulishiriki kupiga mtu kofi, aisee mwnyw nakimbia mtaa
 
Daaah!!! Ngumu kuamini lakini ishatokea MWENYEZI MUNGU AMUWEKEE PUMZIKO JEMA LA MILELE APUMZIKE KWA AMANI JOSEPH FRANCIS ONG'OSO AKA MAN DOJO(AUNCLE)
 
What if jamaa alikua mwizi?
Mwizi ukaibe kanisani tena siku ya jumapili ya Ibada ? Alafu unaambiwa mlinzi kamkuta marehemu kwenye Banda la mbwa hivi kweli una akili timamu ujitumbukize kwenye Banda la mbwa?
 
Kuna kaka yake alikanusha hakuwa na changamoto ya akili lakini kwa kukutwa kwenye banda la mbwa kanisani majira ya alfajiri ni wazi changamoto alikuwa nayo

Halafu watu hudhani hiyo changamoto ni mpaka utembee uchi na kula majalalani kumbe hamna kuna wengine ni wazima kabisa ila ukipiga nae story kuna muda network ya kichwa inakata na kurudi, wanaandamwa na usahaulifu pia, huenda ndicho kilimpata huyu kaka
 
Kama kaka yake tumbo moja anayemjua nje ndani amesema hakuwa na changamoto ya akili wewe ni nani useme alikuwa na changamoto ya akili?
 
Ushanigeuzia kibao tena, we post yako niliyokunukuu umeandikaje? Mtu una akili timamu ujitumbukize kwenye banda la mbwa?

Haya na mimi nikuulize kwenye hilo banda ulimtumbukiza wewe?
 
Hukunielewa, nilichomaanisha ni kwamba mbwa wa taasisi kubwa kama kanisa sio mbwa Koko ujue!! ni mbwa kweli kweli kwahiyo mtu yyte mwenye akili timamu hawezi kujitumbukiza kwenye Banda la hao mbwa maana watamshughulikia tu, hiyo kauli ya marehemu kukutwa kwenye banda la mbwa ni ya polisi sio Mimi
 
Ooh sikuelewa, story ni nyingi wengine kwenye banda la mbwa wengine kwenye kibanda cha mlinzi, ila kwa kuunganisha story zote kuna uwezekano alikuwa na changamoto hiyo ilikuwa ikichochewa na kunywa pombe, zote ni story hatujui ukweli ni upi, apumzike mahali pema
 
Back
Top Bottom