Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Dodoma wana ujinga mwingi sana, nakumbuka kuna taarifa zilitoka miaka ya nyuma, wafanyakazi wa serikali kilimo, walienda kuelimisha wananchi kuhusiana na kilimo, waliwapiga mawe, wakachoma gari yao waliuwa wote kwa kuwahisi walienda aidha kunyonya damu au kuteka watu au kitu fulani hivi sikumbuki. kujichukulia sheria mkononi ni kitu kibaya sana sana na serikali ifanye uelimishaji. watu wanamkuta hata mwizi tu wanachukua sheria mkononi.mwinge anahisiwa tu wameshashambulia, mwingine una uadui naye hata wa mwanamke tu mnagombania akikuona anakuitia mwizi wanauwa yeye anabaki na mwanamke. kitu kibaya sana hiki.