Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Imekuwaje?Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake bwana alitoa bwana ametwaa....
R.I.P Mwamba hadi mwezi uliopita nilikuwa nasikiliza Ngoma zao.Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake bwana alitoa bwana ametwaa....
Aiseee juzi juzi tu alikuwa kwa tajiri wa Mulokozi ,haya mambo ya kuitiana MWIZI ni hatari sana.View attachment 3066818
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.
===
Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi.
"Nimeongea na Domokaya analia tu hawezi hata kuongea vizuri, anasema tu Mandojo, Mandojo Soggy Doggy Anter ambae nimeongea nae na kuthibitisha kutokea kwa msiba huu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiun
Tunaendelea kufatilia taarifa zaidi
DJ FETTY
Aisee hii hatari.View attachment 3066818