what do you mean amekufa? be seriousKwa hiyo amekufa!!??
kama shida yako ni chanzo basi hiki hapa.
what do you mean amekufa? be serious
kama shida yako ni chanzo basi hiki hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]peleka udini wako makalioni kwako..... hapa udini hauna nafasi. jinga wewe.
Umepotea sanakwema sana kaka.
bas niambie hivi umewaza nn mpaka kuhisi kuna ujasusi haposijawahi kuwa na ndoto hiyo....
i'm not surprised, it's something very common for kenyans in jf to pretend like they know nothing about stuff or people from tanzania. you are in a state of denial.i don't know anything about this 'Ashley' guy/girl so siwezi sema lolote kumuhusu
Sawa basi. Endelea kutupia 'point' zako, mzee. 😎huna point....
wewe ni mtu mwenye roho ya chuki. Bila evidence umeshaconclude hii ni sabotage. Endelea kuamini utakacho, maisha itasonga mbele kama kawaidaameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.
i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.
kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.
inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.
but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.
pole sana aslay.
View attachment 930134
video[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]