Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

kama shida yako ni chanzo basi hiki hapa.


Umeonaee, kazi rahisi tu, leta chanzo halafu tutumie akili wenyewe.
Hapo kwanza nimeona jukwaa lenyewe linakaa kijua kali, ina maana yeye hana wapambe wa kumtangulia na kuhakikisha kila kitu shwari.
 
nimechogundua mleta mada alikuwa na ndoto za kuwa spy bt kabakia tu kuwa slum *****
 
Mmmh! Wewe mleta mada bana, fikra zako ni sawa tu na za kibwengo. Andamana na wenzako mkapike zile pilau zenu vichakani.
 
i don't know anything about this 'Ashley' guy/girl so siwezi sema lolote kumuhusu
i'm not surprised, it's something very common for kenyans in jf to pretend like they know nothing about stuff or people from tanzania. you are in a state of denial.

FYI this kid is super talented singer, an instagram verified user who has a bigger number instagram followers than nyashinski and khaligraph.

mbaya zaidi, among his 2.2 million followers are kenyans.
kujifanya humjui haitasaidia kukuondelea wivu. get the strap.
IMG_20181111_224616.jpeg
IMG_20181111_224549.jpeg
IMG_20181111_224650.jpeg
 
ameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.

i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.

inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

pole sana aslay.


View attachment 930134

video[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

wewe ni mtu mwenye roho ya chuki. Bila evidence umeshaconclude hii ni sabotage. Endelea kuamini utakacho, maisha itasonga mbele kama kawaida
 
Back
Top Bottom