Najua Diamond peke yake huko Tanzania..... sababu hua na nunua karanga zake[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji108][emoji108][emoji108][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]We kahaba unazani ile picha yako ulipost hapa jf umeshika pombe hapo joli club tumeisahau
wee mzee kama jf inakuboo si uende KT.acha kulialia bhana...Jf buana, yaani nyuzi zote ambazo zina habari zozote kuhusu asiyejaribiwa na kile chama kimoja kwenye jukwaa hili zimefungwa zote. Tumebakishiwa tu nyuzi za umbea kama hizi. Nawaoo! [emoji15]
Wakenya wanajifanyaga wana standards kumbe chenga tu.
#DG
Hahaa! [emoji1] 'Age difference' kati ya mimi na wewe ni miaka 40, shukran lakini kwa kunipa heshima, ancestor. Nyuzi zote zinazomkashifu Kim Jong Un zimefungwa jombaa. Acha tupitie pitie huu umbea wako, sio lazima utualike, wewe mwenyewe ndiye uliyejileta kwenye jukwaa la Kenya News and Politics.wee mzee kama jf inakuboo si uende KT.acha kulialia bhana...
Jf buana, yaani nyuzi zote ambazo zina habari zozote kuhusu asiyejaribiwa na kile chama kimoja kwenye jukwaa hili zimefungwa zote. Tumebakishiwa tu nyuzi za umbea kama hizi. Nawaoo! [emoji15]
Ni ajab! Acha wapambane na hali yao. Waendelee tu kupimiwa hewa kama dozi ya piriton, baadaye watakuja kutuhadithia.Hehehe!! Jamaa wanaishi maisha magumu sana, itakua hawa JF wametishiwa, maana aisei zote zimefungwa, ila Watanzania ndio huwa na kiherehere cha kuzileta huku kwa Kenyan news wakiwa na nia ya kututambia, tukijibu wanafyatuka.
Maccm online warriors walishatoroka na kukimbia majukwa yao ya siasa kwa kibano walichokua wanapata kutoka kwa Wanachadema, wote huwa wanakesha huku Kenyan news, sasa mada zao zinafungwa, itabidi warudishwe huko kwao kwa mabavu wapambane na hali yao.
Bora hivyo walau tuweze kurejesha mijadala yenye hadhi, mambo yao ya korosho watayajua wenyewe.
Mbona akina Diamond wakijaga hawaanguki, standard ya jukwaa nimeiona ni ya kawaida sana, itakua huyo maskini dogo kaalikwa in a low budget event yenye hadhi yake.
Nawaambia tena, huyo Ashlay huku hafahamiki kama mnavyodhania nyie, hana hadhi ya kufanya Wakenya wawaze kumhujumu. Binafsi, kama nilivyosema awali, nilimkumbuka baada ya nyie kuleta mada fulani alivyopokelewa kijijini kule Turkana ambapo huko ni kawaida kwa msanii yeyote kupokelewa na nyomi, hapo ndio nilikwenda Youtube kutafuta ili nijue nani huyo.
Japo nakiri kuna wimbo wake wa hivi majuzi nilikua naupenda bila hata kujua msanii nani, ule wimbo wa 'Muhudumu', nilikua kila nikiuskia kwenye redio nachangamka japo juzi ndio nimekuja kujua kumbe umeimbwa na huyo dogo, mara ya mwisho kumskliza ilikua ule wimbo wake akiwa bado mtoto, ule wa 'nakwenda kusema kwa mama'.
Lakini kama nilivyosema pia, nyie mna tabia za kuleta bifu zenu za kijinga hadi Kenya, yale yenu ya timu Mondi na Kiba, kuna siku meneja wa Diamond alimzimia mike Kiba hapa hapa Kenya, hivyo roho zenu zilivyo nyeusi mnaona kila mtu anafanana na nyie.
Hahaa! [emoji1] 'Age difference' kati ya mimi na wewe ni miaka 40, shukran lakini kwa kunipa heshima, ancestor. Nyuzi zote zinazomkashifu Kim Jong Un zimefungwa jombaa. Acha tupitie pitie huu umbea wako, sio lazima utualike, wewe mwenyewe ndiye uliyejileta kwenye jukwaa la Kenya News and Politics.
Hehehe!! Jamaa wanaishi maisha magumu sana, itakua hawa JF wametishiwa, maana aisei zote zimefungwa, ila Watanzania ndio huwa na kiherehere cha kuzileta huku kwa Kenyan news wakiwa na nia ya kututambia, tukijibu wanafyatuka.
Maccm online warriors walishatoroka na kukimbia majukwa yao ya siasa kwa kibano walichokua wanapata kutoka kwa Wanachadema, wote huwa wanakesha huku Kenyan news, sasa mada zao zinafungwa, itabidi warudishwe huko kwao kwa mabavu wapambane na hali yao.
Bora hivyo walau tuweze kurejesha mijadala yenye hadhi, mambo yao ya korosho watayajua wenyewe.
wasee wa porojo.. [emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Hizi taarifa zako kwenye uzi huu ndio porojo tupu. Eti wewe pia ni great thinker? [emoji15] Mungu saidia.wasee wa porojo.. [emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Endelea na porojo na chuki zako jombaa, ukimaliza, baadaye wewe mwenyewe utaanza kujiuliza maswali mawili matatu. Yaani maisha yataendelea kusonga tu.leta za kwako ambazo si porojo.
Aaahh wewe unaleta uwongo frasha ni mwanamuziki kwenye lile kundi la p-unit,yule jamaa muoga muoga kwenye video zao anajifunika kepu hadi machoni..Shughulika na politics achana na mambo ya muziki. Nani kakwambia frasha ni mwanamuziki. For your own information she was talking about a music legend who had departed.Wanasiasa walihudhuria mazishi ikiwemo rais ,makamu wa rais na wengineo
The guy who brought that ss here know nothing. He should haveread that post 100times to comprehend what she was talking about