Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Ila wakenya mziki mmewapitia kushoto aisee...huku kwetu tunamfahamu akothee tu..ndo msanii mkubwa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekua bora baada ya kutiririka hisia zako halafu ukatujuza habari kamili maana kuna wale tunaishia kusoma povu zako haalfu hatimaye tunabaki kapa bila kujua nini kilitendeka, weka taarifa au link tukajisomee.
Chochote chaweza kutokea maana hata Watanzania wenyewe kwa wivu wenu huwa mnafuatana hadi Kenya, nakumbuka siku meneja wa Diamond akija kumzimia Ali Kiba mike huku.
Huyo Ashley hana lolote kubwa la kufanya ahujumiwe na Wakenya, bora ungesema msanii wa kuskika kama akina Diamond, huyo Ashley ni dogo tu bado anajitutumua kuamka, binafsi hata sikua namkumbuka hadi juzi mlipoleta mada humu eti kapokelewa kule kijijini maeneo ya Turkana mkasema anapendwa zaidi ya rais ndio ikabidi nimfuate Youtube kujikumbusha ni nani, mara ya mwisho mimi kuskliza wimbo wake alikua mtoto bado, ule wimbo wa 'naenda kusema kwa mama'
Nyooo acha dharau wewe eti aslay humjui

Hakuja mkenya asiyemjua msanii yeyote wa TZ kwa taarifa yako .

Music industry ya TZ ni kubwa kuliko zote EA.

Ulichoandika hapo kinadhirisha unyang'au wako

Shame on you!!!!
 
Moderator, huu uzi hauna lolote zaidi ya umbea. Hadi sasa hivi hamna ushahidi wa kusupport haya madai kwenye taarifa yenyewe. Unashusha sana hadhi ya jukwaa hili, ikiwezekana tafadhali uhamishe hadi kwenye jukwaa la umbea wa maceleb.
 
acha ukweli usemwe.... kukimbilia kuomba ulinzi kwa moderator haitawaacha salama.
 
acha ukweli usemwe.... kukimbilia kuomba ulinzi kwa moderator haitawaacha salama.
Ulinzi upi? Hamna ushahidi wowote uliotuletea hapa ili tukubali kwamba madai yako ni ya kweli. Sio video ya tamko lolote kutoka kwa mtu yeyote yule kuhusu tukio lenyewe, wala recording au article yeyote kutoka kwa media yeyote ile. Zaidi ya hayo wewe ambaye ndiye mleta mada umetumia huu uzi kuendeleza matusi na utoto tu na pumba. Moderator afanye kweli, sheria za Jf zipo very clear, kila mada kwenye jukwaa linalofaa. Huu uzi ni umbea tupu, kuhusu celeb flani, kuna jukwaa lake, na sio hili.
 
We should report this shitty thread
Hata quality ya matusi yenyewe ipo chini sana, watu wanaitana makahaba sijui mahouse maid mara mashoga. WTF??? [emoji15] Zero swag, utadhani tupo kwenye handaki la walevi wa wanzuki! [emoji1]
 
me vs vilaza's.
 
Kumbe supu ya albino si mchezo hivihivi? Unaathiri ubongo si haba. Watu waache kusingizia bangi. Albino soup ni moto wa kuotea mbali
Ushatoka kuzimua kwa kunusa matako ya ng'ombe umekuja kapate kwanza githeri na avocado ukuje tena
 
Hata quality ya matusi yenyewe ipo chini sana, watu wanaitana makahaba sijui mahouse maid. WTF??? [emoji15] Zero swag, utadhani tupo kwenye handaki la walevi wa wanzuki! [emoji1]
Tulieni nyie kuku mkishakuja bandani mnakituliza kama vile mnanyonyolewa manyoya ya kusini
 
ati quality ya matusi iko chini
Saanaa! Muda si mrefu wataanza kuitana sufuria, sahani na vijiko. [emoji1] Hapa kwenye jukwaa hili watu wakitupiana vijembe huwa wanaifanya kwa njia 'intelligent', sio hizi sarakasi za ajabu ajabu tunazoziona hapa.
 
HAWA JAMAA DAWA YAO HAERMONIZE

HAWATAMSAHAU ALICHOWAFANYA JUZI KATI.....🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
thread ina siku tatu tangu nilipo ipost na mpaka leo bado ina ina trend.

kahaba housemaid na hao kaka zako vilaza hii thread ingekuwa ni useless msingekuwa mnakuja ku-comment, mnge-ignore.

cha ajabu kila dakika mnapita hapa kuchunguza ni comment gani mpya imeandikwa ili mpate neneo la ku-respond.

mtajuwa hamjui. plz msiache kukoment.
 
Back
Top Bottom