Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

ameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.

i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.

inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

pole sana aslay.


View attachment 930134

video[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alianguka kwasababu jukwaa halina viwango vyakimataifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waarabu wamejaa kwenu hawapo hapa Kenya. Boss amekupatia chakula kweli? Umelima ekari ngapi huu mwaka? Unanyanyaswa sana. Yaani unafanya hiyo kazi yote na malipo ni chakula? Ni laana hiyo. Usiku unaungana na wenzio mashoga
Nyie ni hatari
We piga kazi ya mjengo maboss tuje kutumbua huko yaani unajengea waume zako nyumba ya mawe halafu wewe unaenda kulala kwny fulusuti la bati pole sana bora ndo maana mnakimbilia kwa waarabu angalau muonje ladha ya nyumba ya tofali
 
Hayo ya kulipia bili na kulazwa zahanatini mbona sikuyauliza Mkuu?

Mimi nimeuliza tu kuwa ameumia?

Akiwa kama binadamu mwenzio akaumia kumjali kwa matibabu ni jambo la kiungwana tu huitaji kujisifia.
No injuries sustained japo aliumia makalio kidogo akakimbizwa zahanati iliyopo karibu.alikuwa Ameshindwa kulipa bili ya hospitali lakini wakenya kwa ukarimu wao waliweza kumlipia. Usijali .Amepata afueni
 
Yaani ile ni maksudiii kabisaa wakenya mna roho za kwa nini sana...kuimba hamjui mnataka kutushushaa...hamuwezi kamwe
 
Back
Top Bottom