Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Umeonaee, kazi rahisi tu, leta chanzo halafu tutumie akili wenyewe.
Hapo kwanza nimeona jukwaa lenyewe linakaa kijua kali, ina maana yeye hana wapambe wa kumtangulia na kuhakikisha kila kitu shwari.
Jukwaa la esijiara ya kichina na injinia ni monkey wa kikenya unategemea nini ? Magorofa kila siku yanaanguka kenya
 
Ni sabotage haiwezekani jukwaa lidondoke kwa uzito wa mtu mmoja! Labda lilijengwa na mabua!
ile ni sabotage bila shaka yoyote. nalisema hili kwasababu nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana kauli za wanamuziki wa kenya kuhusu opportunities wanazopata wanamuziki wa kitanzania nchini kenya na coverage wanayopewa na media zao.

wasanii wengi wa kenya hawafurahii hali hiyo.

mfano mdogo ni hii statement ya msanii wa kundi la p-unit anayefahamika kwa jina la frasha.aliitoa siku chache baada ya wasafi entertainment kutangaza kufanya wasafi festival ndani ya kenya.

kwa sasa ukiingia kwenye account yake ya instagram huwezi kuiona, alishaifuta.
ila mimi nilii-screenshot na kuihifadhi kwa ajiri ya kuifanyia analysis.
tapatalk_1541989586856.jpeg

kuanzia sasa akina diamond na ali kiba wawe makini sana wanapoenda kutumbuiza kenya. wakenya sio watu wazuri. ni ushauri tu.
 
View attachment 930578

Bahati nzuri Kizuri chajiuza bwana
 
nimekuelewa upo nondo kweli
 
Tatizo talanta hawana wanabaki chuki!
 
Thread is full of jealous mathafakas talkin about kenyans
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
ukweli unauma....hasira ikizidi panda juu ya KICC jirushe mpaka chini, Mungu atakutumia malaika zake waje kukuokoa.
 
ameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.

i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.

inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

pole sana aslay.

View attachment 930134

video[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Huyo Aslay nani alimwita hapa Kenya? Kenya ni ulaya ndivyo hua naskia wabongolala wakisema
 
Yes ofcourse haijalishi ni sabottage au nini, inamaana hamna alieona kwamba msanii wetu kabamiza makende kwenye bomba! hebu chukulia mfano tu mtu akugonge na kidole tu! Ile shughuli huwa ikoje
 
Nimeshangaa dogo yuko chali amebebwa ila saut yake inaendelea kusikika kwa speaker maana yake yeye na waandaaji wameshirik kuwatapeli wajaluo
 
Huyo Aslay nani alimwita hapa Kenya? Kenya ni ulaya ndivyo hua naskia wabongolala wakisema
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
i'm not surprised, it's something very common for kenyans in jf to pretend like they know nothing about stuff or people from tanzania. you are in a state of denial.

FYI this kid is super talented singer, an instagram verified user who has a bigger number instagram followers than nyashinski and khaligraph.

mbaya zaidi, among his 2.2 million followers are kenyans.
kujifanya humjui haitasaidia kukuondelea wivu. get the strap.
View attachment 930257View attachment 930258View attachment 930259
 
Back
Top Bottom