TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

Umemuelewa lakini au ndo kulia lia FC!?
 
Basi mijitu itaanza, ooh, tuchukue tahadhari, ni mwaka upi watu hawakufa?
Kwa akili yako itabidi tufunge hata hospitali tukae tu tusubiri kifo maana kifo kipo hata tukichukua tahadhari ama tukijitibu bado tutakufa, hospitali za nini kama tutakufa.

Hii nchi ina safari ndefu sana kufikia maendeleo, upumbavu bado umetawala sana nchi hii.
 
... kwa mwili huo! Ngumu sana. RIP.
 
Lala salama Waziri Sonyo

Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
sikosagi mkuu nyimbo za zomboko nilivyo kuwa mdogo wazazi na mabro walikuwa wakizisikiliza nilikuwa sizipendi,
Nashangaa nimeanza kuzipenda kipindi hiki kinoma,,,,sijui nimekuwa mzee?
ULIVYOKUWA MDOGO ULIKUWA UELEWI KITU! 😷
 
Huo mpira uliishaje? Labda timu yake haikufanya vizuri.
Nakumbuka huyu dogo alipokua na Komba na Banza stone walivyokua wanajitutumua kujilinganisha na African stars miaka Ile ya 2002 2006 lkn African stars walikua wamewaacha TOT kwa mbaali sana.
Wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn", "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
 
Inna lillah wa inna ilahyi rajiun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…