Daah, kumbe basi sikulijua hili mkuu, kuna dereva bonge nae walikuwa wanamwita kitonsa miaka ya 90.
Kweli hizi nyimbo za zamani zinagusa hisia sana, nimezijaza sana kwenye memory ya simu yangu,
Nakumbuka mzee wangu (rip kwake) alikuwa na radio cassette yake aina ya Phillips 540 enzi hizo, alinunua miaka ya 60's alikuwa anapiga sana kanda za miziki ya zamani, nyingi alizinunua moja ya duka maarufu sana la kanda za muziki pale kurasini likiitwa "Bukavu!"