Mwanamzik Diamond agoma kuzungumzia suala ya Baba yake

Mbea
Mbea mkuu wa taifa (MBEMKUTA)
 
Warumi unajua kututeka kweli,sasa wapi kamkana mama yake?? 😊
 
Wee binamu mbona km nilisikia alisema atatoa press maalumu kwa ajiri ya kuzungumzia suala hilo.
Ila leo ilikua kwa ajiri ya Wasafi tour ya Dar.
 
Yule mama kmmke ni Malaya muuza k
Samahani mods naomba msinipe ban kanikera Sana yule Malaya
 
Tuachie ushabiki wa kijinga.. wote tumesikiliza ile press Diamond Nimemsikia Amesema Atafanya Interview maalum kulizungumzia swala hilo.. Amesema press ya leo ni Wasafi tour ya Dar..
Sio wote,mimi sijaisikiliza

Eti babe Don Clericuzio umesikiliza press ya Diamond?ilikuwa lini?
 
Dunia inakwenda kasi kweli

Eti Leo hii Diamond anajaza uwanja bila ya support ya Mwanasiasa ila Mwanasiasa hawezi jaza bila ya sapport yake!

Diamond bila ya DNA test hana ubav wa kubishana na Mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…