Nadhani mimi naweza kua shabiki namba moja wa simi hapa bongo.Kuna jambo au msanii ukikutana na mtu wa mbali anamfaham au anaimba nyimb ozake unatabasam na kufurahi mno.
Nilitaka nifungue uzi unaomuelezea simi kinagaubaga na kuwajulisha watu kuhusu huyu mwanamuziki matata mwenye sauti ya dhahabu nikasema nisearch kwanza kama kuna uzi wa simi humu jf mdo nikakutana na huu.
Simi hakuna ngoma yake nisiyoijua iwe yake au aliyoshiriikishwa. nilinza kumwona kwenye ngoma yake na falz ya soldier na hio combo yao ilipelekea wakatoa album ya pamoja inayoitwa chemistry. yaani simi anaimba falz anarap. ni balaa. umo ndani kuna ngoma kama chemistry,shake your body,enough,foreign na nyingine zote kalii.
Ameshirikishwa pia vibao kadhaa na kina patoranking,mr eazi,johnyy drille,mumewe adekunle gold, na wengine wengi. nyimbo zake kali zaidi ni JOROMI,SMILE FOR ME,LOVE DONT CARE,OWANBE na nyimbo yake kali zaidi kuliko zote na ambayo ndiyo nyimbo bora zaidi iliyopita maskioni mwangu mwaka huu ni AYO.
Hii AYO na OJUELEGBA ya wizkid ndo nyimbo zangu mbili bora zaidi za muda wote ambayo sikiziskia mpaka mwili unapata ganzi na vinyweleo vinasisimka. hapa niko naskiliza nyimbo yake mpya inaitwa selense na nasubiri kazi nzuri zaidi kutoka kwa simi. siku simi akija bongo hata kama kiingilio ni laki ngapi ntauza mali zangu zote nikamwone simi nikiwa VIP hata kama sina nauli ya kurudia home.
SIMI will forever be my BEST FEMALE MUSICIAN.
mzeemkavu Mshumaa wa Mbao Ukuta wa wino Starboywiz Architect E.M copernicucci98 Xavi Hernandez Alcantara venance7 MjuviKitambo maji ya gundu pancho boy Kingsmann Ford Range 42774277 Eyce yna2 Unforgetable teledam October man Sizinga roservelt ningendako