Mwanamziki Simi

Mwanamziki Simi

Naikubali sana sauti ya huyu manzi, nimefanya collection ya nyimbo zake karibu zote na huwa narudia kumsikiliza bila kuchoka
 
Kuna Simi na kuna Teni hawa wadada ni shida ila huyo Teni hayuko serious na kazi zake ila anasauti balaa cheki hii video ilikua ni kama free style wako na

Mr P wa Psquare






 
Mimi mwenyewe namkubali Sana huyo Mwanadada wa kuitwa Simi napenda Sana nyimbo zake Kama ile Love Don't Care
 
Kwenye nyimbo yake ya lovin kuna sehemu anatembea na mchizi wake. Nilicheka sana yale maneno yameandikwa kwenye tisheti. Upande wa mbele imeandikwa

I'm taken
I have a GF
Face your front

Halafu upandr wa nyuma wakaweka msisitizo. Wakaandika,

I said face your front.
Hahahaha am glad sikuona peke yangu na pale ambapo aliweka ice cream shavuni ndo bf wake amkiss ili awakomeshe wale mabinti. Ila Apo pa face your front ndo balaa. Ila Lovin NYIMBO Kali Sana na video kadance fresh na imedirectiwa vizuri mno
 
Huyu SIMI hasikikisana lakini Akina Yemi anawafunika mbali sana. Kitu Joromi ni level za mbali sana. Mimi huwa sisikilizi miziki ya wadada lakini kwa Simi ninazo ngoma zoote
 
Back
Top Bottom