Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 285
- Thread starter
-
- #21
Naipata saana kisauti kitamuuuNimeanza kumfahamu alipotoa JOROMI ... hii ngoma haijawahi kuchuja masikioni kwangu.. ni ngoma kali sana fanya uitafute youtube hutajuta
Hahahaha Iyo Ojuelegba ya Starboy ni nyoko. Imagine Wiz ft SimiNadhani mimi naweza kua shabiki namba moja wa simi hapa bongo.Kuna jambo au msanii ukikutana na mtu wa mbali anamfaham au anaimba nyimb ozake unatabasam na kufurahi mno.
Nilitaka nifungue uzi unaomuelezea simi kinagaubaga na kuwajulisha watu kuhusu huyu mwanamuziki matata mwenye sauti ya dhahabu nikasema nisearch kwanza kama kuna uzi wa simi humu jf mdo nikakutana na huu.
Simi hakuna ngoma yake nisiyoijua iwe yake au aliyoshiriikishwa. nilinza kumwona kwenye ngoma yake na falz ya soldier na hio combo yao ilipelekea wakatoa album ya pamoja inayoitwa chemistry. yaani simi anaimba falz anarap. ni balaa. umo ndani kuna ngoma kama chemistry,shake your body,enough,foreign na nyingine zote kalii.
Ameshirikishwa pia vibao kadhaa na kina patoranking,mr eazi,johnyy drille,mumewe adekunle gold, na wengine wengi. nyimbo zake kali zaidi ni JOROMI,SMILE FOR ME,LOVE DONT CARE,OWANBE na nyimbo yake kali zaidi kuliko zote na ambayo ndiyo nyimbo bora zaidi iliyopita maskioni mwangu mwaka huu ni AYO.
Hii AYO na OJUELEGBA ya wizkid ndo nyimbo zangu mbili bora zaidi za muda wote ambayo sikiziskia mpaka mwili unapata ganzi na vinyweleo vinasisimka. hapa niko naskiliza nyimbo yake mpya inaitwa selense na nasubiri kazi nzuri zaidi kutoka kwa simi. siku simi akija bongo hata kama kiingilio ni laki ngapi ntauza mali zangu zote nikamwone simi nikiwa VIP hata kama sina nauli ya kurudia home.
SIMI will forever be my BEST FEMALE MUSICIAN.
mzeemkavu Mshumaa wa Mbao Ukuta wa wino Starboywiz Architect E.M copernicucci98 Xavi Hernandez Alcantara venance7 MjuviKitambo maji ya gundu pancho boy Kingsmann Ford Range 42774277 Eyce yna2 Unforgetable teledam October man Sizinga roservelt ningendako
hahahahah itakua a dream come true aiseeh yaani nlienda wasafi festival ili nikaimbe ojuelegba peke yake, na ilivyopigwa niliruka na kuimba na kuhakikisha sauti inaishia hapo.Hahahaha Iyo Ojuelegba ya Starboy ni nyoko. Imagine Wiz ft Simi
Hahahahahaha Mkuu...Mi naskiliza hapa JORO hatarihahahahah itakua a dream come true aiseeh yaani nlienda wasafi festival ili nikaimbe ojuelegba peke yake, na ilivyopigwa niliruka na kuimba na kuhakikisha sauti inaishia hapo.
Nadhani Anaitwa Simisola Ogunleye na moja ya albam yake inaitwa kwa jina lake hilo la SIMISOLAAnaitwa Simidele, hilo Simi ni kifupi tu
haahahaha yaaani hio nikiskia tuu kale ka gitaa flani lainiii nasubiri biti lianguke kwa uzito nianze kucheza. hatari mnooo iyo jorooooHahahahahaha Mkuu...Mi naskiliza hapa JORO hatari
Hahaha jamaa anajua saanahaahahaha yaaani hio nikiskia tuu kale ka gitaa flani lainiii nasubiri biti lianguke kwa uzito nianze kucheza. hatari mnooo iyo joroooo
By the waySimi ni Rihanna wa Afrika.Hahaha jamaa anajua saana
yule naye hanaga mbaya aiseeh ila wanamuziki wa nigeria ni very talented na bidii pi ipo plus lugha pia wanaitumia vizuri.Hahaha jamaa anajua saana
Mwingine atasema Tiwa,Mwingine Yemi Alade hahaha.Kweli kila shetani na mbuyu wake, sijawahi kumuelewa. Chidinma is the best for me.
Alafu mkuu hawa jamaa wana sapotiana sanayule naye hanaga mbaya aiseeh ila wanamuziki wa nigeria ni very talented na bidii pi ipo plus lugha pia wanaitumia vizuri.
Chidinma- Fall in love na kedike ni kali mno ila usimiambie hakuna nyimbo ata moja ya simisola unayoielewa mkuu?Kweli kila shetani na mbuyu wake, sijawahi kumuelewa. Chidinma is the best for me.