Mwanamziki Simi

Alafu mkuu hawa jamaa wana sapotiana sana
Si Wiz,Davido,Burna Boy Patoranking,Tecno. N.k
kabisa aiseeh na ikitokea bif au mgongano wa kimsaslahi wanarekebisha na kupiga shoo pamoja mfani davido na wizkid ila mswahili mkikosana au kukosanishwa kidogo ndo uadui na kulogana milele. Ndo mana Fid Q alirap akasema " Hawaamini kwenye kuunda diamond au kiba wawili,wanaamini kwenye kumshusha mmoja ili mmoja awe dili"
 
Nilishuhudia Mwanzo mwisho tamasha la Wizkid kule London. Kwenye StarBoyfest. Aliifunga 02 Arena full. Alafu alichukua Nigeria karibuni yote alikuwa na wasanii kama.


BurnaBoy,Naira Marley,Tiwa Savage,Runtown,Eugy,Olamide,Terri Nk.


Baadae Davido akampongeza kwa show kali Wiz pia akamwambia hongera kwa kupata mtoto ulikuwa usiku huo huo.


Bongo sasa
 
Bongo ukimkaribisha msanii kwenye tamasha lako anakuambia UNIKOME na kwamba hawezi kuja maana anajenga mafanikio yake
 
Yaan hakuna video yoyote kusindikiza uzi wako!!?
Basi haya picha ya Simi nayo holla,

Mjomba unaniangusha.
 
naweza kusema mimi ni namba mbili kwakweli.....siwezi kuskiliza nyimbo yake moja najikuta nimemaliza album yani she is the best
 
Jericho akaua kabisa ....bado alizoimba na bwana ake Adekunle ..
Naipenda sana Doyin na Jericho...
Hiyo aliyoimba na mumewe adekunle gold inaitwa promise me ni motrooooo. sasa apo kwenye doyin ndo kisanga zaidi alaf nyimbo yenyewe haina ata muda saaana ila inakimbiza mno huko youtube.huyo bwanaake mwenyewe ana lijimbo lake linaitwa Before you wake up duh aiseeeh siichoki maskioni mwangu
 
Hiyo promise ni motoooo haswaaa..
 

Ayo ni kama morning prayer kwangu..

Naupenda sana huo wimbo yaani lyrics, beat, video na kila kitu on point.

Simi nilimuona mara ya kwanza kwenye love don't care na baada ya hapo zikaja hitz.

hivi karibuni kabadilika kidogo kwenye Owanbe na Jericho kutokana na watu kumsema kuwa ana uwezo wa kuimba nyimbo za aina moja lakini nazo alizitendea haki

Simi yupo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…