Nadhani Anaitwa Simisola Ogunleye na moja ya albam yake inaitwa kwa jina lake hilo la SIMISOLA
Hahahaha....Mbona jina zuri tu..Majina mengine jamani. ..
Majina mengine jamani. ..
Hahahaha am glad sikuona peke yangu na pale ambapo aliweka ice cream shavuni ndo bf wake amkiss ili awakomeshe wale mabinti. Ila Apo pa face your front ndo balaa. Ila Lovin NYIMBO Kali Sana na video kadance fresh na imedirectiwa vizuri mnoKwenye nyimbo yake ya lovin kuna sehemu anatembea na mchizi wake. Nilicheka sana yale maneno yameandikwa kwenye tisheti. Upande wa mbele imeandikwa
I'm taken
I have a GF
Face your front
Halafu upandr wa nyuma wakaweka msisitizo. Wakaandika,
I said face your front.