Mwanamziki wa Cameroon aachia nyimbo akiipa Jina la MAGUFULI

Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze, huyo jamaa angetakiwa aje aishi Tanzania mwaka 1 hakika angefuta wimbo wake
 
Hapo nimekosea nini? Roho mbaya hapo ni ipi? Nashukuru kwa Matusi..
Mkuu sijakusudia kutukana na ndio maana nimeandika kihivyo.

Tusameheane tu kama umekwazika.

Ila nimeshituka na jinsi ulivyokataa kukubali jamaa usie mpenda kapaishwa kick kubwaaa huko ng'ambo.
 
Alipata ridhaa na miliki ya hilo jina katika wimbo wake? Ila asijali, mwenye jina si mtambuzi, mwelewa wala mfuata sheria, bali sifa.
 
Hata mimi nahisi hivi, Kama yule balozi wa Zambia hapa nchini aliyekuwa anaitwa " KIKUMA"
Ukiacha hilo jina na maana yake kwa wa Zambia, ina maana nyingine unayoijua wewe?
 
nakumbuka hata kina fashisti Mobutu Seseseko na nduli Iddi Amini walitungiwa nyimbo za kusifiwa pia.

meaning.........

kama shetani asingekuwa na wafuasi Maisha Club, etc kungekuwa ni makanisa na misikiti!!
 
Huyu kaangalia fulsa huenda kagundua jamaa anapenda sifa hivyo ataitwa ikulu na hata kupewa uraia na zawadi lukuki.Hata hivyo Cameroon kuna wanasoka tu huyu musician kadandia
 
Hata mugabe amesikika kidunia lkn chali leo kuna kusikika kwa mazuri hii inachukua miaka mingi mfano mandela na nyerere kufahamika kwa mabaya hii hata siku moja tu dunia nzima inakujua angalia viongozi wote watumiao cheo vibaya
 
Kwahyo jamaa kamuomba demu awe kidume wa ye dume??acheni kufosi jambo msilolijua .....demu akiwa kidume si mkulya huyo!!!!
 
uyu jamaa kweli anamuelewa Anko Magu na Sera zake.....nimeona apo wadada wapo juu ya SGR wamerelax.
 
Hii ni mbinu ya kutaka viewers kutoka Tanzania, ni Diamond alivyowafanyia wa-Namibia na wakampa views za bure kabisa kwa nyimbo ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…