Mwanamziki wa Cameroon aachia nyimbo akiipa Jina la MAGUFULI

Mwanamziki wa Cameroon aachia nyimbo akiipa Jina la MAGUFULI

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
3,264
Reaction score
5,419
Mwanamuziki Wax Dey ambaye ni African Award Winning Super Star toka Nchini Cameroon ameachia Nyimbo Mpya inayoitwa "MAGUFULI".

katika kibao hicho kipya alichowashirikisha Ma-Superstar wengine kama Mr Leo na Locko Super Star Wax Dey anaonekana Kwenye Video akimbembeleza Msichana Mrembo kwa Lugha ya kifaransa na kiingereza akimuomba binti huyo amkubali ili awe Magufuli wake, yaani awe '' Kidume Wake"...akimaanisha jina Magufuli ni "Mwanaume wa Shoka au Kidume'

Moja ya Mashahiri:

No one will have you eh
Humm, and if they try to take you away from me.. I go be your Magufuli, your magufuli
Eh yo oh ah eh, eh yo oh ah eh
Hmm, magufuli, your magufuli

Eh yo ho, ah eh
Les gens se moquent de nous chérie pourtant c’est vrai

FB_IMG_1556472568067.jpeg
 
Japo anachotamka ni MAGAFULI siyo MAGUFULI.

Msije mkasema nimetoka Bavicha kupinga maendeleo ila sikilizeni.

Wimbo mzuri.
 
hata angetamkwa na malaika-bado hadi sasa hajatoa matunda yoyote kwa Watanzania licha ya kuwaletea watu huzuni na mifadhahiko.
aliyevaa kiatu ndiye anayejua wapi kiatu kinambada-huyo msanii hayupo Tz hajui chochote kuhusiana na economic hardship watu waliyonayo.
Nimeangalia huu wimbo, nikahisi labda magufuli Ni kilugha Chao, hakumaanisha magufuli huyu
 
Mwanamuziki Wax Dey ambaye ni African Award Winning Super Star toka Nchini Cameroon ameachia Nyimbo Mpya inayoitwa "MAGUFULI".

katika kibao hicho kipya alichowashirikisha Ma-Superstar wengine kama Mr Leo na Locko Super Star Wax Dey anaonekana Kwenye Video akimbembeleza Msichana Mrembo kwa Lugha ya kifaransa na kiingereza akimuomba binti huyo amkubali ili awe Magufuli wake, yaani awe '' Kidume Wake"...akimaanisha jina Magufuli ni "Mwanaume wa Shoka au Kidume'

Moja ya Mashahiri:

No one will have you eh
Humm, and if they try to take you away from me.. I go be your Magufuli, your magufuli
Eh yo oh ah eh, eh yo oh ah eh
Hmm, magufuli, your magufuli

Eh yo ho, ah eh
Les gens se moquent de nous chérie pourtant c’est vrai

View attachment 1083524
Kwani ni nini maana ya magufuli? Inaweza kuwa na maana kwa lugha yake huko Cameroon na ndiyo amemaanisha
 
Back
Top Bottom