BVR 2015
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 344
- 713
Mwanamuziki Christian Bella na bendi yake ya malaika bendi hivi sasa wamekuwa matapeli.
Jana ktk mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya,Christian Bella ilikuwa atumbuize ktk Hotel ya Kisasa iliyopo Magomeni kagera kwa maarufu ya Nefaland Hoteli.
Washabiki wiki nzima tuliaminishwa kuwa Christian Bella angefika kutumbuiza siku ya mkesha cha ajabu Bella hakuoneka badala yake katuma vijana wake waje wapoteze muda wakiiga kuimba nyimbo zake ,yeye akiwa kaingia mitini.
Ushauri kwa Bella kuwa sisi mashabiki wake hatufuati bendi yake bali nia ilikuwa kumsikiliza yeye ,kama anajiona ni super star na akiendelea na mipango yake ya kitapeli kuna siku utakosa mashabiki kabisa.
Pili hata kama unaudhuria shoo basi uwa unachelewa sana nakumbuka kuna kipindi alikoswakoswa kupigwa kwa kitendo cha kuchelewa kupanda stejini ,jirekebishe mkuu nenda na wakati asante