Mwanamziki wa Christian Bella kageuka kuwa Tapeli

Mwanamziki wa Christian Bella kageuka kuwa Tapeli

BVR 2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
344
Reaction score
713
Mwanamuziki Christian Bella na bendi yake ya malaika bendi hivi sasa wamekuwa matapeli.

Jana ktk mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya,Christian Bella ilikuwa atumbuize ktk Hotel ya Kisasa iliyopo Magomeni kagera kwa maarufu ya Nefaland Hoteli.

Washabiki wiki nzima tuliaminishwa kuwa Christian Bella angefika kutumbuiza siku ya mkesha cha ajabu Bella hakuoneka badala yake katuma vijana wake waje wapoteze muda wakiiga kuimba nyimbo zake ,yeye akiwa kaingia mitini.

Ushauri kwa Bella kuwa sisi mashabiki wake hatufuati bendi yake bali nia ilikuwa kumsikiliza yeye ,kama anajiona ni super star na akiendelea na mipango yake ya kitapeli kuna siku utakosa mashabiki kabisa.

Pili hata kama unaudhuria shoo basi uwa unachelewa sana nakumbuka kuna kipindi alikoswakoswa kupigwa kwa kitendo cha kuchelewa kupanda stejini ,jirekebishe mkuu nenda na wakati asante
 
acha akili mbovu kwani yeye ndo aliaandaa hilo tamasha au ? .waulize waandaaji sio unachafua watu tu
 
Magomeni Kagera niliishi hapo mwaka mmoja. Songombingo na patashika za uswazi mtindo mmoja.
 
Nyie mngekomaa na muandaaji awarudishie pesa zenu, Bella hana tatizo na wewe, kwani mlikubaliana nae wewe aje?

Mlidanganywa na mwenye tamasha, akapiga hela kisha anamuangushia lawama Bella na mlivyo mazoba na mataahira mnaanza kumchukia Bella wakati hakuwaambia kama atakuja.
 
Wacongo ni shida sana.
Kia mmoja anataka ajiite Presidaaa, kupitia uongozi wa Bendi ndipo nilipojua kwanin DRC haitawaliki. Patcho Mwamba Prezdaa, Bella Prezdaa, Babu Seya pia RIP fm Academia kwa sababu ya Uprezidaa
 
Nafikiri mleta mada umechanganya, mkesha wa mwaka mpya Bella alikuwa anapiga PK lounge Kimara Korogwe.

Hata hivyo walipanda wale vijana wake, wakaimba nyimbo mbili tatu za copy, mara viombo vikaanza kuzingua, mara wanamziki wakaanza kuondoka. Kilichofuatia ni watu kufanya fujo na kugawana vyombo vya mziki. Waliochukua magita walichukua, mic walichukua wengine speaker. Hali hii ilishawahi kutokea pale White House.

Inawezekana pia huko napo kulikuwa na shoo ya Bella anyway maana hawa jamaa hawana maana kabisa.
 
Back
Top Bottom