Mwananchi alipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri, ashukuru kwa walichomfanyia

Mwananchi alipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri, ashukuru kwa walichomfanyia

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Nalishukuru jeshi la polisi linafanya kazi vizuri sana tena bila majungu, naongea umri wangu ni kiwa mtu mzima wa miaka 60 kasoro.

Jeshi la polisi linafanya kazi vizuri, kituo cha polisi Mburahati nilifika tarehe 23 siku ya jumanne kwa ukarimu wa mkuu wa kituo hicho cha polisi na amenisikiliza vizuri shida yangu na tayari nimeshasahidiwa na mtuhumiwa wangu atakamatwa.


 
Back
Top Bottom