Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa mfanoYuko sahihi kabisa
Dunia sasa inaelekea kwenye 4 Working days na baadhi ya nchi wameshaanza 😄😄
Katika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya Mapumziko kama ilivyo Jumapili ambapo amedai badala yake Jumamosi iwe siku ya kazi.
Akitetea hoja yake amesema kwamba, Siku ya Ijumaa Maofisi ya umma yanakuwa hayana wafanyakazi kwa vile wengi wao wanakuwa wakijiandaa na Ibada, jambo linaloleta usumbufu kwa Wananchi, ili kuondoa usumbufu huo ni bora siku hiyo ikawekwa kuwa ya mapumziko na Jumamosi ifidie.
Binafsi Naunga Mkono hoja yaani iwe ijumaa wapo muslims,jumamosi wasabato na Jumapili wakristo. So siku Tatu mapumziko
😆😆😆😆Hao wazee kwa asilimia kubwa ni mtaji wa CCM
SIMBA NA YANGA HAWAKUWA NYUMA
Wazungumzia mazito kuhusu imani hii iliyo bora kabisa kwa sisi tulio katika imani ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=jv-TbA5EjqQ
Ka nchi maskini, wananchi wana umaskini kichwani, wanataka siku nyingi za kupumzika!Katika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya Mapumziko kama ilivyo Jumapili ambapo amedai badala yake Jumamosi iwe siku ya kazi.
Akitetea hoja yake amesema kwamba, Siku ya Ijumaa Maofisi ya umma yanakuwa hayana wafanyakazi kwa vile wengi wao wanakuwa wakijiandaa na Ibada, jambo linaloleta usumbufu kwa Wananchi, ili kuondoa usumbufu huo ni bora siku hiyo ikawekwa kuwa ya mapumziko na Jumamosi ifidie.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake
Binafsi Naunga Mkono hoja yake
Mimi nashauri tuanishe mfumo wa kulipana kwa masaa badala ya mwisho wa wiki, au mwezi kama ilivyo sasa.
Huu mfumo ukianzishwa, hakuna mtu mwenye akili timamu atalilia muda wa mapumziko ili akaswali/akasali. Badala yake watu watakuwa busy kufanya kazi kwa masaa mengi zaidi tu ili mwisho wa mwezi wapate mishahara minono.
Kwa nini anatutenga sisi wa jumamosi.Katika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya Mapumziko kama ilivyo Jumapili ambapo amedai badala yake Jumamosi iwe siku ya kazi.
Akitetea hoja yake amesema kwamba, Siku ya Ijumaa Maofisi ya umma yanakuwa hayana wafanyakazi kwa vile wengi wao wanakuwa wakijiandaa na Ibada, jambo linaloleta usumbufu kwa Wananchi, ili kuondoa usumbufu huo ni bora siku hiyo ikawekwa kuwa ya mapumziko na Jumamosi ifidie.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake
Binafsi Naunga Mkono hoja yake
Katika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya Mapumziko kama ilivyo Jumapili ambapo amedai badala yake Jumamosi iwe siku ya kazi.
Akitetea hoja yake amesema kwamba, Siku ya Ijumaa Maofisi ya umma yanakuwa hayana wafanyakazi kwa vile wengi wao wanakuwa wakijiandaa na Ibada, jambo linaloleta usumbufu kwa Wananchi, ili kuondoa usumbufu huo ni bora siku hiyo ikawekwa kuwa ya mapumziko na Jumamosi ifidie.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake
Binafsi Naunga Mkono hoja yake
UNA UHAKIKA HAWAPUMZIKI IJUMAA?Hapa duniani kuna nchi sita za kiislamu ambazo zinatumia hii kalenda tunayotumia sisi ya kupumzika jumapili.