Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nao Wasabato wakikaza, na dini nyingine ikija wakichagua j3 kama siku ya kusanyiko itakuwaje?
Huyo mtu katumwa
Huyo mtu katumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapumziko yaanze alhamisiKatika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya Mapumziko kama ilivyo Jumapili ambapo amedai badala yake Jumamosi iwe siku ya kazi.
Akitetea hoja yake amesema kwamba, Siku ya Ijumaa Maofisi ya umma yanakuwa hayana wafanyakazi kwa vile wengi wao wanakuwa wakijiandaa na Ibada, jambo linaloleta usumbufu kwa Wananchi, ili kuondoa usumbufu huo ni bora siku hiyo ikawekwa kuwa ya mapumziko na Jumamosi ifidie.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake
Binafsi Naunga Mkono hoja yake
Ndiyo,ijumaa ni siku ya kazi kama kawaida ila waumini wanaenda kuswali ijumaa wakitoka ni ubize kwenda mbele.UNA UHAKIKA HAWAPUMZIKI IJUMAA?
Ndiyo,ijumaa ni siku ya kazi kama kawaida ila waumini wanaenda kuswali ijumaa wakitoka ni ubize kwenda mbele.
Hizi timu Tatu za dar es salaam ni taasisi za dahwa. Huwa nashangaa Imani nyingine wanajinadibu timu yetu. Ona hata wakiitisha sala kuiombea timu aina ya wsombaji na aina yasombi
Weekend ianze Ijumaa hadi Jumapili.Hapa naamini kutakuwa na ligi ngumu kati ya wasabato na waislamu
Sahihi, naunga mkono hoja.Mimi nashauri tuanishe mfumo wa kulipana kwa masaa badala ya mwisho wa wiki, au mwezi kama ilivyo sasa.
Huu mfumo ukianzishwa, hakuna mtu mwenye akili timamu atalilia muda wa mapumziko ili akaswali/akasali. Badala yake watu watakuwa busy kufanya kazi kwa masaa mengi zaidi tu ili mwisho wa mwezi wapate mishahara minono.