Mwananchi aomba siku ya Ijumaa iwe siku ya Mapumziko

Huyo dingi aache uvivu hiyo kitu hata Mekka sidhani kama ipo
 
 
Naunga mkono hoja, hivi aliyefanya jmosi na jpili kuwa siku za mapumziko ni nani?, alikosea sana
 
Mwananchi achanganyikiwa alipomuona kiongozi wa nchi akipanda katika jukwaa kutoa hutba nzito, hivyo mwananchi kushindwa kusikia na kuona maneno mazito ya mheshimiwa rais aitaja neno nchi mara kadhaa kuonesha nchi ni kubwa kuliko imani zetu. Huduma za afya za binadamu alizozibainisha kuhusu hospitali kubwa ya kuhudumia wote, amani, 4R ....


View: https://m.youtube.com/watch?v=xgGDqIRczLo
 
Kama anataka kupumzika ajiajiri au kila ijumaa awe anachukua likizo ,kwa mwaka means 28(likizo kisheria)+24(hizi amlipe mwajiri mshahara wa mwezi).
 
Wakristu hawana upande na dini yoyote. Wao wanamfuata maelekezo ya mafundisho ya vitabu vyao. Hakuna sehemu yoyote kwenye vitabu vya kiislam vimeamrisha kupumzika siku ya ijumaa zaidi ya kushiriki ibada ya al jumaa. Kabla na baada ya hapo unaruhusiwa kuendelea na kazi na hakuna nchi yoyote ya kiarabu inapumzika siku ya ijumaa. Kuendesha Imani kwa mihko kuwa mwezako anafanya nini ni mashindano ya kitoto na ya kiswahili yasiyo na maana. Fuata maelekezo ya kitabu chako unachokiamini
 
Mimi nashauri tuanishe mfumo wa kulipana kwa masaa badala ya mwisho wa wiki, au mwezi kama ilivyo sasa.

Huu mfumo ukianzishwa, hakuna mtu mwenye akili timamu atalilia muda wa mapumziko ili akaswali/akasali. Badala yake watu watakuwa busy kufanya kazi kwa masaa mengi zaidi tu ili mwisho wa mwezi wapate mishahara minono.
 
Ka nchi maskini, wananchi wana umaskini kichwani, wanataka siku nyingi za kupumzika!
Siku ya mapumziko iwe moja tu, au kwa kila siku unayopumzika, anayepumzika jpili, akatwe pesa,kwenye salary ya siku moja,hivyo hivyo kwa ijumaaa na jmosi
 

Na hapa ndipo nchi zilizoendelea wanatupiga gape. Pay per Working hours ni system nzuri sana ambayo africa hatuifuati.
 
Hapa duniani kuna nchi sita za kiislamu ambazo zinatumia hii kalenda tunayotumia sisi ya kupumzika jumapili.
 
Kwa nini anatutenga sisi wa jumamosi.
Mapumziko yaanze ijumaa mpaka jumapili
 

JUMATATU PIA IWE SIKU YA MAPUMZIKO. WATU WENGI WANAKUWA WAMECHOKA NA WEEKEND. MAOFISINI WANAKUWA WAKALI NA VERY BORED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…