Nadhani tatizo liko kwenye aina ya habari. Watu hawako tayari Kupoteza pesa zao kwa kusoma habari za kanisa kwenye main stream media. Yaani Msema kweli liandike mapambio kusifu na kiabudu, halafu mwananchi nalo hayo hayo!!?Uongo,marekani na Ulaya kwenye top ya teknolojia ya mawasiliano ya mtandao magazeti bado yanauzwa sana
Kizazi Cha wapenda magazeti wengi wao ni wazee kuanzia 50 na kuendelea, kikiisha hiki ndo majanga, sababu kizazi Cha sahivi ni Cha smartphoneIna survive ila kwa mbinde Sana. Mfano kupitia hapa JF tunapata habari za moto moto tu, WhatsApp tunasambaziana habari za moto moto tu, Nani atasubiri mpaka kesho aje anunue Gazeti lenye habari za leo?
Magazeti yatabaki kwa Matumizi machache tu
Point mkuu,Kizazi Cha wapenda magazeti wengi wao ni wazee kuanzia 50 na kuendelea, kikiisha hiki ndo majanga, sababu kizazi Cha sahivi ni Cha smartphone
Zimeshatia kambi kwenye Tv, radio.Siasa hizi ndio zimeua magazeti na soon inahamia kwenye tvs na redio
Siasa hizi ndio zimeua Magazeti na soon inahamia kwenye TVS na Redio