Mwananchi inapumulia mashine

Mwananchi inapumulia mashine

Uongo,marekani na Ulaya kwenye top ya teknolojia ya mawasiliano ya mtandao magazeti bado yanauzwa sana
Nadhani tatizo liko kwenye aina ya habari. Watu hawako tayari Kupoteza pesa zao kwa kusoma habari za kanisa kwenye main stream media. Yaani Msema kweli liandike mapambio kusifu na kiabudu, halafu mwananchi nalo hayo hayo!!?
 
Ina survive ila kwa mbinde Sana. Mfano kupitia hapa JF tunapata habari za moto moto tu, WhatsApp tunasambaziana habari za moto moto tu, Nani atasubiri mpaka kesho aje anunue Gazeti lenye habari za leo?

Magazeti yatabaki kwa Matumizi machache tu
Kizazi Cha wapenda magazeti wengi wao ni wazee kuanzia 50 na kuendelea, kikiisha hiki ndo majanga, sababu kizazi Cha sahivi ni Cha smartphone
 
Kizazi Cha wapenda magazeti wengi wao ni wazee kuanzia 50 na kuendelea, kikiisha hiki ndo majanga, sababu kizazi Cha sahivi ni Cha smartphone
Point mkuu,
Next 10-20 years hii biashara itakua ngumu ajabu. Magazeti yatabaki kua formalities za maofisini tu.
 
Mashine ipi? Ni zile ventilators za covid-19?
 

Attachments

  • 0fa9f2e37a42af00d01878c6fad4a111.jpg
    0fa9f2e37a42af00d01878c6fad4a111.jpg
    31.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom