Mwananchi: Kwanini magari ya Serikali, Mapolisi na Wanajeshi hayafuati sheria za barabarani? Au wako juu ya sheria?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani

Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa

Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

Alichokisema:

"Hivi why no one talks about how magari ya serikali, ya mapolisi, ya wanajeshi hayafuati sheria za barabarani kabisa at all? Why? Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kutuonyesha, kuwa mfano wa kuonyesha how sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, wao ndio wa kwanza kuvunja.

Hawataki kusimama kwenye taa, muda wote wana haraka. I'm sure sio kila saa wana mahali pa kwenda, na kama wana mahali pa kwenda pa kuwahi, kwa nini wasiamke mapema waende mahali pa kuwahi?

Wanabypass taa. I've seen multiple times, sana sana mianzini hii, wanataka kugonga, na who is holding them accountable? Au katiba inasemaje? Are they above the law when it comes to huku barabarani?

Leo asubuhi tu kwenye barabara ya Impala, hii barabara ni nyembamba. Gari limeandikwa NW, I believe ni Naibu Waziri, linatupigia king'ora liko nyuma ko-ko-ko-ko, and I was like, sasa tengenezeni basi barabara mpate pa kupita kwa sababu wote tunastruggle kukaa kwenye foleni tuvuke twende.

Why do you think you are exceptional utake kuvuka? Kapanda kwenye pavement huko akapita"

Watu wa zamani watakuambia "unauliza jibu?"

Kuhusu kuwa tinted, hayo magari huwa yanabadilishwa namba na usiku wanayatumia kufanya mambo pamoja na vitendo vya kinyume na maumbile. Kulishakuwa na kesi kama hizo zikaishia hewani
 
💯

Road safety in Tanzania = 0

Kupanda pavement = kutokuwa na nidhamu

Tinted windows = kuficha uhalifu

Hii nchi haina laana yoyote — waache kula hela za kutengenza mabarabara.
 
Wakuu,

Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani

Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa

Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

Alichokisema:

"Hivi why no one talks about how magari ya serikali, ya mapolisi, ya wanajeshi hayafuati sheria za barabarani kabisa at all? Why? Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kutuonyesha, kuwa mfano wa kuonyesha how sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, wao ndio wa kwanza kuvunja.

Hawataki kusimama kwenye taa, muda wote wana haraka. I'm sure sio kila saa wana mahali pa kwenda, na kama wana mahali pa kwenda pa kuwahi, kwa nini wasiamke mapema waende mahali pa kuwahi?

Wanabypass taa. I've seen multiple times, sana sana mianzini hii, wanataka kugonga, na who is holding them accountable? Au katiba inasemaje? Are they above the law when it comes to huku barabarani?

Leo asubuhi tu kwenye barabara ya Impala, hii barabara ni nyembamba. Gari limeandikwa NW, I believe ni Naibu Waziri, linatupigia king'ora liko nyuma ko-ko-ko-ko, and I was like, sasa tengenezeni basi barabara mpate pa kupita kwa sababu wote tunastruggle kukaa kwenye foleni tuvuke twende.

Why do you think you are exceptional utake kuvuka? Kapanda kwenye pavement huko akapita"

Yaani wanaopaswa kusimamia sheria ndiyo wavunjaji wa kwanza ,siyo Arusha tu ,nchi nzima magari ya vyombo vya dola na serikali yanavunja sheria za barabarani sana.

Ndiyo tatizo la kuendesha nchi na WAHUNI ,wahuni siyo watu.
 
Police state, literally.

And the state is king. You don’t get to question; you just conform, show respect and bow to the king however idiots they be!

Huyo lady na wengine wote wanatakiwa kwanza kabisa kuelewa wanaishi katika nchi gani ili wasipoteze muda kujiuliza maswali yasiyo na tija.
 
Magari ya polisi huwa wanadai ni magari ya dharura kama ilivyo ambulance(yawezekana yanawahi kukamata jambazi).Ya jeshi yawezekana yana mabomu au silaha zinawahishwa kwenda kuhifadhiwa au wana dharura yoyote ya lazima.Haya yanawezekana kwa nchi zetu ambazo zinamatabaka katika utii wa sheria
 
Back
Top Bottom