Yaani wanaopaswa kusimamia sheria ndiyo wavunjaji wa kwanza ,siyo Arusha tu ,nchi nzima magari ya vyombo vya dola na serikali yanavunja sheria za barabarani sana.Wakuu,
Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani
Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa
Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?
Alichokisema:
"Hivi why no one talks about how magari ya serikali, ya mapolisi, ya wanajeshi hayafuati sheria za barabarani kabisa at all? Why? Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kutuonyesha, kuwa mfano wa kuonyesha how sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, wao ndio wa kwanza kuvunja.
Hawataki kusimama kwenye taa, muda wote wana haraka. I'm sure sio kila saa wana mahali pa kwenda, na kama wana mahali pa kwenda pa kuwahi, kwa nini wasiamke mapema waende mahali pa kuwahi?
Wanabypass taa. I've seen multiple times, sana sana mianzini hii, wanataka kugonga, na who is holding them accountable? Au katiba inasemaje? Are they above the law when it comes to huku barabarani?
Leo asubuhi tu kwenye barabara ya Impala, hii barabara ni nyembamba. Gari limeandikwa NW, I believe ni Naibu Waziri, linatupigia king'ora liko nyuma ko-ko-ko-ko, and I was like, sasa tengenezeni basi barabara mpate pa kupita kwa sababu wote tunastruggle kukaa kwenye foleni tuvuke twende.
Why do you think you are exceptional utake kuvuka? Kapanda kwenye pavement huko akapita"
Kuna ambao mpaka wanagonga wananchi na kuwatupa kwenye milango ya hosipitali (allegedly) — it’s crazy !!!Wanasiasa hapa ni zaidi ya celebrities gari imepigwa tint speed 120 shwaaaaaaa