Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Watahangaika na Tanzania lkn hatutatikisika hata nukta
Huwezi kutikisika,sababu wewe ni kula kulala,hata ugumu wa maisha huujui,waulize wazazi wako wanavyohangaika kukutafutia mlo wasiku,huku wakikutuma vitumbua unaiba chenji ya bando.
 
Ukitaka ujue Kama ni uhun kwann wa translate'mazishi, ya Corona pekee alafu maneno yote ni kingereza kwaio kingereza Cha neno mazish ni kigum kuliko vingine vilivyo andikwa kwa kingereza pia kingine ni kwamba wap dunia Corona haiui? Ila inaua TANZANIA tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By burying the dead in the middle of the night is proof enough of the government ill motive.Secrecy as a weapon for misinformation so as to cover the weakness of an incompetent regime! Shame on myopic leadership.
 
We taarifa zemukusaidia nini? Ikiwa huchukuia tahadhali kuilinda nafsi yako na familia yako unasubilia taarifa zikusaidie nini? Taarifa walizotoa hazikutoshi mpaka upewe zipi?
hawa mbuzi yafaa akili ndogo sana kuwaelewa,mtu anakwambia taarifa zitasaidia yeye kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23].

wakati huo anaomba lockdown,kwamba yeye binafsi hana maamuzi na afya yake.
 
'Natural death' si ni kifo cha ugonjwa wowote?
Kwani kama ni malaria wanaandika malaria?
Hata hivyo vifo vinavyosababishwa na covid19 ni vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By burying the dead in the middle of the night is proof enough of the government ill motive.Secrecy as a weapon for misinformation so as to cover the weakness of an incompetent regime! Shame on myopic leadership.
then during the day,mysterious the grave disappears.
 
Hebu wataalamu wa afya watuambie, mtu kufa kwa ugonjwa wowote sio natural death?

Nafikiri tofauti na natural death, sababu nyingine inaweza ikawa kujiua, kuuwawa, ajali na vifo vingine ambavyo si vya kiasili. Kama kafa kwasababu ya ugonjwa wa korona, hiyo nafikiri ni natural death. Angekuwa kanyongwa, halafu madaktari wakasema ni natural death, tatizo hilo.
 
Basi, kama ni hivi tunalo tatizo kubwa zaidi kuliko tulivyodhani.
Ukiona amiri jeshi mkuu amekimbia mapambano na kwenda kujificha kijijini ujue hali sio shwari. Yule mtu anadata zote so anajua kinachoelendelea.
Chukua tahadhari
 
We taarifa zemukusaidia nini? Ikiwa huchukuia tahadhali kuilinda nafsi yako na familia yako unasubilia taarifa zikusaidie nini? Taarifa walizotoa hazikutoshi mpaka upewe zipi?
Taarifa wamezitoa mara ya mwisho ni lini? Tunataka taarifa ili tujue mwenendo wa nchi yetu juu ya janga hili la corona. Au mwenzetu unajua kama mapambano yetu ndani ya nchi yetu juu ya covic-19 yamefikia wapi (kuna mafanikio au lah).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…