Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Huyo KGG ndio nani? Babaako? Hao watu 1200 mmewazika majumbani mwenu? Hawana ndugu?
Pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku hizi mtu asife basi hiyo ni corona.

na mods wako mbioni kuanzisha jukwa la vifo soon.
 
Adi wameona aibu wenyewe kutangaza

sijui itakuaje
 
Kigogo kasema baba yake mdogo Paul makonda kafa kwa korona Leo anaitwa josephat bashite
 
Wewe umeshuhudia misiba migapi mtaani kwako maana usisusubili kwenye daftali, uliyoona kwa macho yako? Na kwanini wawe wao tu na wewe kwa nini hujafa?
Siku hizi kuna kushuhudia misiba wakati wanazika usiku.
Ndugu chukua tahadhari corona inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…