Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

watanzania kadha wamehojiwa.
Kipengere hiki ndio kinashtua, kama ilala tuu tarehe 27th kwenye daftari la mazishi ya waliokufa kwa corona ilikua zaidi 256,
Huyo mwananchi si angdweka cheti cha kifo?
Cheti cha kifo kinaeleza sababu ya kifo cha mgonjwa
Tusilishane.matango pori
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice

Tumiaga akili basi kujibu, akili yako imejaa utopolo tupu. Nani kakishadadia ? Pamoja na USA kuwa case 60k wewe hiyo inakuhusu ? Watanzania wanahaki ya kupewa taarifa juu ya mwendelezo wa Taarifa za Gonjwa hili.

Majuzi kati nilikuwa nachati na dada yangu mmoja yupo dar, alikuwa akienda kariakoo nikamwambia jitahidi kuwa mwangalifu na uvae barakoa..! Alichonijibu ni kuwa Corona imeisha [emoji15][emoji15][emoji22][emoji22]. Nikamwambia usiseme hivyo, subiri serikali ikisema hakuna corona ndipo useme hivyo, akanielewa akavaa barakoa.

Sasa ishu inakuja, huyu ni mmoja tu ambaye kwa sababu ya ukimya huu anajikuta anaamini kuwa ugonjwa huu haupo. Hebu vyombo husika waache ukimya bali waseme kitu ili tuokoe wenzetu ambao wataangamia kwa sababu ya kutopata taarifa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice

Hebu siku mojamoja ufikirie kwa kutumia kichwa, wewe kila siku unatumia sehemu ya kukalia kufikiria.
Why?

Hilo jamaa ni moja ya misukule ya Lumumba, yakishatolewa akili. Kila kitu lipo kupinga tu na kusapoti ujinga tu hata kama ujinga upo wazi wazi.
Mzee baba atoke huko Chimbo na waambie wananchi kuwa idadi yetu ni hii. Na pia ahamasishe uchukuaji wa Tahadhari.
Nampenda Mzee Magu, ila kwa hili ananiangusha mimi niliyempa kura yangu nikiamini atasimamia maslahi yangu kiafya, kuchumi na kijamii kama mpiga kura na Mwananchi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrema hivi yupo?

Mie huyu akipata corona ndiyo nitajua Tz tunajanga la corona.

Mzee wa kilalacha,popote ulipo endelea kujificha. Inji isijekukupoteza.

Sent using iphone pro max
 
Kuna vitu vyengine havihiitaji taarifa bali ni uelewa wa mtu.
 
Kweli ili ni jambo la kushangaza, Kigwangala anasema watafufua biashara ya utalii by June this year. Nchi nyingi zinazotoa watalii bado zipo kwenye lockdown, mbaya zaidi hatuko wazi kwa sababu takwimu zinafichwa! Mtalii gani atakuja kwenye nchi isio eleweka? Mtalii gani yupo tayari kuhatarisha maisha yake? No strategies, no measures. Tutaumia sana kiuchumi.
 
Hata huyo mtalii mmoja anata opt kwenda Kenya.
Kwa sababu Tz wil never be recommended due to its secrecy.

Yani mtu aje ili hali anajua kabisa majirani walifunga mipaka yao kwa sababu sisi ni carriers.

Maana yake aje anunue kirusi. Hello No.
labda tutapata watafiti wa Magonjwa na waandishi wa habari za kupeleleza au tutapata wachina.
Yes because Chinese created this shit and they don't scare. Wanaogopa tu Mamlaka
 
siwezi jua maana pakikucha na makaburi yanayeyuka.

mnadhani uzikaji wa watu ni kama kuzika paka aliyekufa????
Kufa ni kufa tu aidha kwa ajali, malaria, ukimwi , pressure n.k lakini hii Corona ni aina fulani ya vita pamoja kwamba ni ugonjwa tazama dunia inavyohangaika kisiasa na kiuchumi ni vita na kwenye vita propaganda ndio inatumika. Amini au usiamini hakuna hata nchi moja duniani inayotoa takwimu ya vifo ya ukweli hakuna. Mwacheni kamanda wetu atuongoze kwenye hii vita mpaka sasa tupo vizuri hata Triump analaumiwa kuwafungia raia ndani jee unaonaje sasa anawafungulia.. Huu ugonjwa ni kama ukimwi tuishi nao ukijihadhali utapona usipojali utaenda
 
Si ili tumlaumu Magufuli kuwa uzembe wake ndio umesababisha matokeo hayo, angetusikiliza Tanzania isingekuwa na corona.

hakuna uzembe wowote umefanyika, you see... people never read things and understand, yawezekana hata tangia corona imeanza hujawahi kuchukua mda hata angalau usome in between guidelines na ukaelewa, wacha nkuonyeshe namaanisha nn


Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)

but also, since corona began till today only 292K people have died, hizi ni stats za dunia nzima according to the current stats i have here


- but did you know that




pitia hapa utaona full list The Top 10 Deadliest Diseases in the World

nkupe mfano wa schemic heart disease: so did you notice that kila mwaka ulikua unaisha na vifo vya mamilion bila hata wewe kujua?? swali ni kwamba. tuache mambo yote tushuhulikie schemic heart disease mpaka suluhisho lake? so mpaka apa unaweza kuona nan ana akili ya kizembe
 

you see how crazy you are, Tanzania has decided not to report its cases alafu unaifungia mipaka at the same time kenya has a free trade deal with the americans ambao wana almost 1.5M patients, sasa hizi ni akili za wap? nan anatakiwa kumfungia mipaka mwenzake , and cha kushangaza meanwhile this rubbish exists

Tanzania's avocados go from zero to Sh28bn-a-year crop





sema kimoyo moyo, magufuli ni genius!!!
 

Attachments

  • 1589330437984.png
    163.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…