Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Tatizo akili yako umeweka mfukoni na sasa unatumia akili ya Ngwigulu Nchemba rais wa mawe!!!Huwezi kupata matokeo chanya maana akili yako inafikiria kupata misaada tu!!!
 
Jiwe kama namwona alivovimba uso maana ngumi za Uso anazopigwa kila Upande si mchezo
Jiwe hakutakiwa kuvimba hata kidogo. Ilibidi awe amejiandaa kupokea haya yote na zaidi ya haya. Namna anavyo deal na corona ni ya pekee sana, report za maambukizi, wanao pona, wanao kufa kwa mujibu wa serekali ni nzuri sana kiasi cha kutamausha ulimwengu nzima, kutaka kujuwa jinsi gani imewesekana. Wanao uliza kutokae nje wana nia njema, wapewe ushirikiano.
 
Jina la 256 kati ya waliokufa covid au ya total number of death kwenye hiyo hospital.. Maana siamini kwamba walifungua daftari jipya kwa ajili ya covid.. Na akienda makaburini akakuta jina la marehemu wake ni la 2115 atasemaje?
 
Umeambiwa hilo jina lilikuwa namba 256, namba zinaendelea mbele. Isee hivi una elimu gani wewe? Nchi hii tumekuwa wajinga sana, mwingune anasema vufi vya covid kwetu havitafikia marekani kwa siku, ni sawa kwasababu sisi tumepiga marufuku kutangaza kwahiyo hatuwezi kujua!
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nakokotoa hesabu hapa;
> Kama vifo 16=wagonjwa 480
> Je, vifo 256 = wagonjwa wangapi?
KANUNI ILEILE YA MIAKA YOTE
Jibu nililopata ni jumla ya wagonjwa ni 7,680 (kokotoa na wewe tufananishe majibu)
Kumbuka hapo nimepiga hesabu kama jumla ya vifo vyote ni 256.
 
Watu 256 hakuna eneo la makaburi la jiji la dar es salaam laweza accommodate hakuna
Mleta maada mwongo
 
Corona inaongelewa na wanasiasa Wa upinzani mitaani watu hatuna habari maisha yanaendelea corona sio issue
Acheni upuuzi nyie ninao ndugu wawili wamefwekwa na korona na kwa bahati mbaya wamezikwa hukohuko Dsm.
Ndugu tulitaarifiwa na kutakiwa kuchangia gharama za maziko.
Inasikitisha sana jinsi mnavyoleta utani na uhai wa watu.
Sio kila muda ni kuleta misiasa uchwara yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kusikikiliza porojo njoo dar mitaani uone watu wala hawajali wanaendelea na maisha kama kawaida
 
Magonjwa yanayoua hayajaanza Leo kila gonjwa la kuua likitokea Luna wanaokufa na Luna wabaobaki corona NAYO hivyo hivyo itaua wengine na wengine watabaki

Sio ugonjwa Wa kuogopa sanaaa sababu sio ugonjwa pekee unaoua yako magonjwa kibao yanaua na wengine wanabaki
 
Hahaha. ' Omari a motorcycle taxi driver in Arusha'...Stupid....A cooked article
 
Tanzania tunaenda na approch ya do nothing.
Bar, vilabu, makanisa, etc vipo wazi.

Walau tungefunga baadhi ya mikudanyiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice
Tatizo sio 256, tatizo ni figure zilizopo kwenye official reports, na jinsi msivyokua na aibu mtakuja kutuambia hao 20 wamefufuka kwa msaada wa Gwaji Boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…