Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Mleta mada kilaza tu
Sasa kama wamekufa watu serikali ndo imewauwa?
Huko USA hawafi? au USA serikali haijachukua tahadhari?

Mnapenda kufata propaganda za wazungu ili kila siku muone nyie mnakosea.
Hao wazungu wangekuwa wanatupenda wangetengeneza hayo majanga? Mbona wanaua watafiti wa Corona?
Nendeni mkaolewe kwa wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakunywa dawa ya NIMR mkuu so wagonjwa wengi wamepona
Mimi kuna rafiki yangu ambae ni muhindi wa hapa dar anasema matanuri ya kuchomea wahindi yako bize usiku na mchana

Kirusi kinakula kimyakimya huko makaburi ya Kisutu yatajaa ndani ya wiki mbili zijazo

Huo upuuzi wa NIMR ni mkorogo wa vitunguu swaumu na malimao ambayo kila watu wametumia sana tu na wakafa vilevile
 
Madikteta hufanya chochote ilimradi waendelee kutawala.
 
Niheri wangesema tutumie mbege au ulanzi kiliko hizo togwa za NIMR
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama namba isinge kua kubwa , ummy angeendelea kutangaza kama mwanzo.

Pia kama namba sio kubwa Meko angekua amesha rudi Ikulu.
Tatizo sio 256, tatizo ni figure zilizopo kwenye official reports, na jinsi msivyokua na aibu mtakuja kutuambia hao 20 wamefufuka kwa msaada wa Gwaji Boy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice
Unajua USA ina watu wangapi jumla? Wewe ukiwa na watoto wawili tu akafa mmoja unakuwa umefiwa zaidi ya mwenye watoto 20 akafiwa watano
 
Ofisii ya Raisi Ni popote Tanzania
Kumbe tunaweza kuendelea vizuri kabisa na nchi ikasonga mbele bila kuwepo hyu JIWE. Abaki huko huko maana nimeona kuwa kumbe nchi inaweza kwenda bila hata ya yeye kuwepo. Kwa mfano sasa hivi ana faida gani ya kuwepo?
 
Kumbe tunaweza kuendelea vizuri kabisa na nchi ikasonga mbele bila kuwepo hyu JIWE. Abaki huko huko maana nimeona kuwa kumbe nchi inaweza kwenda bila hata ya yeye kuwepo. Kwa mfano sasa hivi ana faida gani ya kuwepo?
Kwani kazi hafanyi? Teuzi unafanya wewe ? Kusimamia serikali unafanya wewe?
Raisi ni ofisii sio jengo au chumba yeye mwenyewe Kama yeye Ni ofisi
 
Duh..........

Na bado hawa akina Kasim Majaliwa na Ummy Mwalimu wanatuambia kuwa waliokufa ni 16 pekee!

Wacha nchi zote za jirani zitufumgie mipaka yao, ili na sisi tuanze kuonja machungu ya kuwa "isolated"
Ummy mwalimu anajua watu wengi wamekufa na wengi wanaumwa ndiyo maana alikwepa lawama akamwachia waziri mkuu auongopee Ulimwengu peke yake, sasa wamelazimishwa wataje wale wanaopona ili corona ionekane siyo Tatizo kubwa, hawajui kuwa aliyepona anaweza kuumwa tena kwa sababu akitoka Hosptal anaenda kushinda vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani kwenye mikusanyiko misongamano ambayo imeruhusiwa na CCM ili watu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Ofisii ya Raisi Ni popote Tanzania
Ndivyo mnavyojifajiri eee. Sasa tulijenga ya nini Ikulu kama hata nyumbani ni ofisi na ni Ikulu? Yeye ni mtumishi wa umma au wa familia? Watumishi wote wa umma hutumia ofisi za umma kuwatumikia wananchi. Basi na sisi tutoke ofisini turudi kwetu tukafanyie kazi za serikali nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…