Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Namuonea huruma huyo mtunza kitabu.

Mwaka huu watatumbua mpaka wazikaji.....!!
 
Imekupata kunakostahili ndiyo maana povu limekutoka. Mpaka minyoo imekorogeka. Ungekaa kimya ningekasirika sana!
au fanya 50000 mjumlishe na mzee mmoja wa kwenu hapo[emoji23][emoji23][emoji23].nyumbu kilema wewe.
 
Watu wengi tu wameondoka mkuu. Ila tukisema inaonekana tunazusha. Ngoja na wengine waseme japo wataitwa mabeberu. Wangemsifia jiwe pasingetosha hapa
 

Watanzania tumekuwa wa hovyo sana, hatuwezi tena kushinda hii vita!

Watu wanasimamia uchama na siasa, matokeo yake tutayaona.

Kuna jamaa yangu nae alikuwa ndiyo wale wale, bahati mbaya alipo pakavamiwa na huyo mdudu, kazika wenzie alipoanza kushtuka siku tatu nyuma ananiambia hii ngoma kweli siyo, tutakufa nae tumemzika!

Alibanwa kifua nusu saa mbali hatunae! Hatari
 
msiwapangie watu kufikiri kama nyinyi.

au mnadhani kila mtu mpumbavu!!!!!

Matusi ni sehemu ya salamu zao.

Tumekuona bila shaka wewe ni mmoja wao. Hautupi pressure wala nini.

Wahi buku 7 na bonus ya tusi.
 
Bora vyombo vya kimataifa sasa vitumike kueleza nini kinaendelea hapa nchini ili watu wajue hali halisi ikoje.
 
TAtizo sio waziri tayatizo ni magufuli mwenyewe
 
Wewe ndio mpumbavu hao watz wa huko fb ni wana akili sana kuliko nyie mmejificha na majina fake hapa kumbe kichwani weupe kabisa

Hivyo vyombo vya kimagharibi vinaona tz kuna vifo kuliko hata USA na UK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hiyo ilikuwa terehe ngapi vile ?Sasa washafika 10,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…