Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Meko sio mjinga , akili anazo sema maamuzi ayapange vizuri.

Mfano wakati ule anasema tidalimiaane kwa miguu angepiga chini ndege zote za abiria maana yake hakuna mtu kuingia , leo hii Tanzania ingekua salama salmini na hata hizi barakoa tusinge zivaa.

Sasa kinacho fanyika sasa ni bahati na sibu kuokoa uchumi kwa sababu bila kodi miradi karibia yote itasimama.

Kwa bahati mbaya tena wale anaowaletea jeuri ndio wanao mdai na wanao mkopesha.

Kwa vyovyote vile uchumi lazima utayumba kwa sababu mara zote Tanzania itaonekana not certified on covid19

Hajachelewa kuanza kuucheza muziki wa dunia, na akaokoa uchumi.

Jambo moja analo weza fanya ni kuwa kuingia mji wowote lazima barakoa.

Na awe mstari wa mbele ili dunia ijue mzee kaokoka na anashiriki jambo hili kwa ukamilifu.

Mwisho atoke chato .

Sent using Jamii Forums mobile app
dunia mpaka sasa imeonyesha wazi kwamba haina haja kuendelea na lockdown,hii ina maana kila nchi imeamua kuachia corona na kudaka uchumi.

corona ni kama nyuki anayeuma ukiwa umebeba sufuria la maji ya moto(uchumi).uachie ili kumpiga wakati keshakuuma,umwage maji ya moto nayo yakuchome,au uache akuume ufikishe sufuria chini bila kuungua.

yah just simple like that,na tutaimba kwa pamoja na magufuli ni swala la wakati tu.tena si zaidi ya wiki mbili zijazo.
 
Watu 256, kwa makaburi yapi ya kuzikwa na yasijae kwa hapa Dar es salaam? Huwezi kuzika watu 256 ndani ya mwezi mmoja bila raia kushtukia.
 
Sisi hatufanyi chochote, wana achia lockdown wana strategy.. ebu elewa kidogo.

Tanzania itashindwa kufanya biashara na majirani soon..
dunia mpaka sasa imeonyesha wazi kwamba haina haja kuendelea na lockdown,hii ina maana kila nchi imeamua kuachia corona na kudaka uchumi.

corona ni kama nyuki anayeuma ukiwa umebeba sufuria la maji ya moto(uchumi).uachie ili kumpiga wakati keshakuuma,umwage maji ya moto nayo yakuchome,au uache akuume ufikishe sufuria chini bila kuungua.

yah just simple like that,na tutaimba kwa pamoja na magufuli ni swala la wakati tu.tena si zaidi ya wiki mbili zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazishi yamekuwa yakiendelea kwa sana tu kila siku tangu vifo vianze
hii kwa sana ndio hatuitaki hapa,kwani it costs how much mtu kwenda kimafia kurekodi eneo la tukio na kuondoka,au kuna jeshi linayalinda!!!!!!

huyo kigogo jasusi wa kijiweni nayeye kambwera[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Watu wanamchukulia poa KGG kwa kutoa taarifa za watu waliokufa na KORONA ila takwimu alizozitoa jana ni kwamba mpaka sasa watu 1293 wameshakata moto kwa covid19 ,,DSM na Atown zinaongoza na nimeongea na jamaa yangu wa njiro anasema ni hatari kitaani kwao wamepukutika kwa corona.

Kuficha ndio kunazidi kutuangamiza maana watu wanachukulia poa,kinga ya mwili haingalii umri,watu wana magonjwa nyemelezi mengi tu,ukipata kovid na ikakukuta na kinga dhaifu/magonjw nyemelezi % kubwa lazima itambae na wewe!!
 
Hiyo namba ni kubwa halafu ukizingatia ni tarehe za nyuma ina maana sahivi wangekuwa wanakufa wengi tu kwa siku na impact yake mtaani ingeshaonekana....This your issue is too theoretical,... Practically haipo.
 
hii kwa sana ndio hatuitaki hapa,kwani it costs how much mtu kwenda kimafia kurekodi eneo la tukio na kuondoka,au kuna jeshi linayalinda!!!!!!

huyo kigogo jasusi wa kijiweni nayeye kambwera[emoji848][emoji848][emoji848]
Usimchukulia poa KGG mkuu anatoa issue ambazo ni ngumu kuzipata!! Na yupo Ahead ya taarifa,issue hata ikitokea saa nane usiku yeye ashaipata na kuipost na wahusika wanakuja kuitoa baada ya siku 1 au mbili kupita.
 
Hivi John Magufuli ni mtanzania?
HAPANA, Siyo Mtanzania!! Hakuna Mtanzania mwenye roho ya UUAJI kama huyo. Watanzania tunapishana kiitikadi lakini mwisho wa siku wote ndugu.

Hii namba ni Burundi au Rwanda ndiyo kuna chuki hizo
 
Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.

Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo kama walevi kumbe ndio akili zao zilivyo.
Maana mlevi unaweza ukamtetea asionewe au asipigwe badae anakugeukia wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi tu wameondoka mkuu. Ila tukisema inaonekana tunazusha. Ngoja na wengine waseme japo wataitwa mabeberu. Wangemsifia jiwe pasingetosha hapa
Mkuu kwenye familia yako wameenda wangapi?
 
Watu 256, kwa makaburi yapi ya kuzikwa na yasijae kwa hapa Dar es salaam? Huwezi kuzika watu 256 ndani ya mwezi mmoja bila raia kushtukia.
wanakwambia ununio ambulance hazikauki,na wazikaji haealali[emoji23][emoji23][emoji23],ufipa mnakoelekea mnapajua wenyewe.
 
Matusi ni sehemu ya salamu zao.

Tumekuona bila shaka wewe ni mmoja wao. Hautupi pressure wala nini.

Wahi buku 7 na bonus ya tusi.
buku 7 imetoka wapi tena,hivi unadhani kama wewe unalipwa kila mtu ni hivyo!!!!!
 
Back
Top Bottom