Huyu mfiwa anatumiwa na mabeberu!! Si kila ugonjwa una daftari lake LA kuorodhesha vifo, yaani daftari LA waliokufa na malaria, daftari LA waliokufa kwa kipindupindu, daftari LA waliokufa kwa corona, nk. Daftari lipo moja tu kwa kuorodhesha vifo vyote. ni kifo tu! Kwa hiyo kwenye orodha ya vifo mbali mbali jina LA baba yake lilikuwa la 256. Jamani kifo huwezi kukifanya siri!! Kuna ndugu jamaa na marafiki utawafichaje? Hawa waMbowe wanaodai vifo ni vingi watoe majina ya marehemu na majina ya wafiwa kama ushahidi. Kama wanataka vifo basi wavisubiri kwenye familia zao!¡ huyu Sababu ya kifo huonekana Huyu mfiwa asifanyie biashara kifo cha baba yake!