Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Huyu mfiwa anatumiwa na mabeberu!! Si kila ugonjwa una daftari lake LA kuorodhesha vifo, yaani daftari LA waliokufa na malaria, daftari LA waliokufa kwa kipindupindu, daftari LA waliokufa kwa corona, nk. Daftari lipo moja tu kwa kuorodhesha vifo vyote. ni kifo tu! Kwa hiyo kwenye orodha ya vifo mbali mbali jina LA baba yake lilikuwa la 256. Jamani kifo huwezi kukifanya siri!! Kuna ndugu jamaa na marafiki utawafichaje? Hawa waMbowe wanaodai vifo ni vingi watoe majina ya marehemu na majina ya wafiwa kama ushahidi. Kama wanataka vifo basi wavisubiri kwenye familia zao!¡ huyu Sababu ya kifo huonekana Huyu mfiwa asifanyie biashara kifo cha baba yake!
Haya ni maoni yako au ndo utaratibu wa hospital na serikali? Ukishachanya pamoja wakati wa reporting na analysis unaanza kuchambua upya au wewe unadhani mhudumu wa Afya akisha andika jina la marehemu kwenye kitabu ndo shughuli inakuwa imeisha?Neendeni shule kwanza sio mnakimbilia kwenye siasa wakati vichwani hamna kitu
 
Mkuu utaratibu ni kuwa mtu alifariki pale hospitalini hupewi mwili hadi vipimo vifanyike na wajue nini ilikuwa shida.Baba mwenye nyumba wangu tulisubiri majibu for three days ndo tukapewa majibu kwamba corona ndo ilikuwa sababu ya kifo chake na kwa maana hiyo akazikwa na serikali pale ununio.Sasa Kama watu wanapewa majibu na serikali yanayosema Ni coro a na nyinyi CCM hamtaki corona isemwe kwa sababu mnazozijua ninyi basi, subirini ndugu zenu wafe ndo mtajua corona ipo na inaua
Huyo baba yako alipofariki haina kuwa wamekufa wengi. Ni mmoja tu kati ya wachache waliokufa!
 
Haya ni maoni yako au ndo utaratibu wa hospital na serikali? Ukishachanya pamoja wakati wa reporting na analysis unaanza kuchambua upya au wewe unadhani mhudumu wa Afya akisha andika jina la marehemu kwenye kitabu ndo shughuli inakuwa imeisha?Neendeni shule kwanza sio mnakimbilia kwenye siasa wakati vichwani hamna kitu
Kwa akili yako unadhani idadi ya vitabu vya kuorodheshea vifo ni sawa na idadi ya magonjwa yote yanayosababisha kifo!! Hivi unajua idadi ya magonjwa wewe!! Hiyo meza itajaa lundo la mavitabu!! Ni kwamba kwenye daily report vifo na sababu zake vinaorodheshwa, then taarifa zinaingizwa kwenye vitabu vya kutunza takwimu ambazo ndugu wa mfiwa hawawezi kuviona maana haviwahusu. Anayefanya analysis hutumia kitabu kinachotunza takwimu, siyo kitabu kinachoorodhesha vifo!!
Kama mnadai vifo vilishafikia 256, tuwekeeni hapa death certificate 256!
 
Mkuu mwisho wa siku whether majongwa yapo trioni ngapi lazima serikali imefanye analysis kujua ugonjwa gani umeua watanzania wengi zaidi na upi umua wachache ili kuinform maamuzi ya wizara.Kwa sababu hiyo ni ngumu kuchanganya hizi taarifa maana kuja kufanya sorting then ndo ufanye anakysisi ni ngumu sana.Kumbuka wanaandika kwenye hard copy na si soft copy so sorting yake itakuwa ngumu mno.Kilaza Kama wewe ndo unaweza changanya kila kitu
 
tanzania inaingia us mara 6 kwa idadi ya watu.

haya piga mahesabu yako sawa sawa baada ya kufuturu,ujue nani ana wagonjwa weng kwa kila kundi fulani la watu.
Huyo asikusumbue. Kwenye Worldometer idadi ya vifo kati ya nchi na nchi hulinganishwa kwa kuangalia idadi ya vifo kwa kila watu milioni moja. Kwa marekani ina vifo 257 kwa kila watu milioni moja. Kwa tanzania idadi ya vifo ni 0.4 kwa kila watu milioni moja!!
 
Mkuu mwisho wa siku whether majongwa yapo trioni ngapi lazima serikali imefanye analysis kujua ugonjwa gani umeua watanzania wengi zaidi na upi umua wachache ili kuinform maamuzi ya wizara.Kwa sababu hiyo ni ngumu kuchanganya hizi taarifa maana kuja kufanya sorting then ndo ufanye anakysisi ni ngumu sana.Kumbuka wanaandika kwenye hard copy na si soft copy so sorting yake itakuwa ngumu mno.Kilaza Kama wewe ndo unaweza changanya kila kitu
Analysis ndio inafanyika! Hoja ya msingi ni kuwa kwenye kitabu cha kuorodhesha vifo, vifo vya magonjwa mbalimbali huorodheshwa. Kwa matumizi ya kutunza takwimu na uchambuzi, kuna vitabu maalumu kwa kazi hiyo ambavyo mfiwa havimhusu!! Kwa hiyo huyo mfiwa aliingia chaka!!
 
Utawala huu umefeli Sana Yani. Sana. Hizi damu watazilipa
 
Kwa
Swali lako ni linaakisi uwezo wako wa kifikiria, yaani ukiwa na akili timamu unawezaje kuuliza swali la kijinga namna hiyo?!.... Ila kwa ethics za taaluma ya Afya hakuna mjinga anayeweza kujiita mtaalamu wa afya akaja na huo upuuzi.

Kuna Ethics Ya Kujiita Kwenye Taaluma Ya Afya? Au Hapo Kuna Ethics Gani Imekuwa Violated?
 
Mnataka watangaze idadi kiasi gani ili muamini?
 
Waarabu nao wameanza chokochoko..

Corona tumedeal nayo kiwaki sana
al jazeera ya kweli ni ya kiaarabu hii ya kiingereza walishachukua wamarekani zamani. haina tofauti na CNN na MNBC maana watangazaji na maproducer wote wamehamia huko. Kabla wamarekani hawajajaa kwenye hiyo channel habari za marekani zilikua negative tu kama uliangalia vita vya Iraq utajua

Al-Jazeera was the first Arab channel to introduce proper investigative journalism and the first to entertain all kinds of previously off-limits guests on its talk shows, tackling controversial topics such as suicide bombing and the existence of God. Such iconoclasm demolished social, political and religious taboos and set a new standard of reporting in the region. It introduced concepts like democracy and human rights and drastically pushed back the boundaries of free speech.

Advertisement

It also deeply disturbed other governments in the region since none of them, with the exception of post-revolutionary Tunisia, enjoys a popular democratic mandate and they fear anything that might weaken their grip on power. A stream of never-ending diplomatic crises kicked off between Qatar and every other country in the region except Oman, as well as many non-Arab nations. The network’s myriad enemies used every trick in the book to try to shut it down, from arresting correspondents and closing bureaus to deporting family members of employees, harassing potential advertisers, launching frivolous lawsuits and, in the case of the US, bombing its offices twice and killing members of its staff.
 
Kwa akili yako unadhani idadi ya vitabu vya kuorodheshea vifo ni sawa na idadi ya magonjwa yote yanayosababisha kifo!! Hivi unajua idadi ya magonjwa wewe!! Hiyo meza itajaa lundo la mavitabu!! Ni kwamba kwenye daily report vifo na sababu zake vinaorodheshwa, then taarifa zinaingizwa kwenye vitabu vya kutunza takwimu ambazo ndugu wa mfiwa hawawezi kuviona maana haviwahusu. Anayefanya analysis hutumia kitabu kinachotunza takwimu, siyo kitabu kinachoorodhesha vifo!!
Kama mnadai vifo vilishafikia 256, tuwekeeni hapa death certificate 256!
Iliterate argument!
 
Back
Top Bottom