Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.

Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?

Khee sasa hivi ukidai chako unakamatwa duuh
 
Kila kitu na utaratibu wake, mnaofikiria kupata haki Kwa njia za mkato Mara nyingi mnamatatizo ya msongo wa mawazo. Huwa mnahisi Kama mnacheleweshewa mahitaji yenu na kujikuta mnataka shortcuts.

Jifunze kufuata Sheria utaishi Kwa Amani sana
Kwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal 👑 family ina makontena ya usd, upumbavu at its best
 
We n kiaz Sana

Sheria ipi imevunjwa hapo?

Ametukana je kuandamana n kosa kisheria

Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
 
Hiyo ni njia moja wapo ya kudai haki
Na imetumika sehemu nyingi duniani
Unafikiri ukidai haki kwa kubembeleza utasikiliZwa

Ova
 
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.

Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?

View attachment 2484579
Yule km siyo mlevi ana jambo lake, kila kitu kina utaratibu hana viongozi. Afinywe pumbu vizuri ijulikane nyeupe na nyeusi
 
Kwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal 👑 family ina makontena ya usd, upumbavu at its best
Baada ya miaka hiyo 60 we na babu zako mmefanya nini la maana. We umelelewa na single maza
 
Baada ya miaka hiyo 60 we na babu zako mmefanya nini la maana. We umelelewa na single maza
Kwa hiyo wanawake sio walezi wema,hii inajionyesha wewe una GBV, Nkanini ni tough nuts na always anafight kudai haki yake kwa push back 🔙 sio kusubiria politicians waje na maamuzi, heshimu wanawake maana mama yako ni mwanamke
 
We n kiaz Sana

Sheria ipi imevunjwa hapo?

Ametukana je kuandamana n kosa kisheria

Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
Video yenyewe umeiona? Kwenye hayo maandamano sijui ziara watu wote pamoja na polisi walikua na uelekeo mmoja. Huenda huo mwelekeo ulikua ni katika kutatua changamoto inayowakabiri, lakini huyo jamaa akawa ni kama anaharibu utulivu na movement zilizokuwepo Kwa lugha nyepesi ameleta vurugu, kwenye kundi Kama Hilo kuongea ovyo ovyo Kama huyo jamaa no vurugu. Upeo wako na Imani Yako Kama vinakutuma kuwa jamaa alikua sahihi Baki navyo na ulee wanao Kwa mfumo huo wa kujiropokea bila mpangilio.
 
Hapo kafanya vurugu gani??
Amerusha mawe??
Kama umeenda shule utajua kuwa Kuna utaratibu wa kuongea kwenye makundi na sio kujiongelesha bila mpangilio kisa una mdomo. Huyo jamaa alikua anaongea point lakini Kwa mfumo usio rasmi wakati watu wapo kwenye tukio rasmi la ukaguzi wa miradi ya maji. Kwa lugha nyepesi jamaa alieopoka maneno bila ruhusa na hope ataachiwa kwasababu huenda angechochea vurugu mbeleni
 
Back
Top Bottom