Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

Hiyo ni njia moja wapo ya kudai haki
Na imetumika sehemu nyingi duniani
Unafikiri ukidai haki kwa kubembeleza utasikiliZwa

Ova
Kama umeangalia video walikua wanaelekea sehemu na alikua na njia nyingi kueleza Mambo yake ikiwemo kuomba nafasi kwenye kikao au mkutano. Huko mbele kulikua na mkutano tu ila ameamua kuropoka. Angesikilizwa tu jamaa yangu na alichokifanya ameipa familia kazi tu.
 
We unasema nini!
Ukiona hivyo watu washaandika
Mabarua mpaka makabrasha yamejaa,
Acha wadai tu kwa style hiyo

Ova
Hujaona viongozi wamekuja hapo kuwasikiliza na hapo walikua na viongozi? Ukikuta mpaka viongozi wamefika ujue kero zao zimesikika, na wamwsikilizwa huko kuropoka amejitakia.
 
Kwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal [emoji146] family ina makontena ya usd, upumbavu at its best
Mkampe dhamana Sasa maana ameamua kupita mkato wakati alikua na nafasi kuona kiongozi aliekuja amekuja kuwasaidia Kwa lipi.
 
Nadhani wampe huduma ya maji akileta vurugu tena aadhibiwe

Shida yake huduma ya maji
 
We n kiaz Sana

Sheria ipi imevunjwa hapo?

Ametukana je kuandamana n kosa kisheria

Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
Hakuna maandamano ya Mtu 1 au 2 mkuu. Sheria inasema maandamano ni zaidi ya watu wawili.
 
Kwa hiyo wanawake sio walezi wema,hii inajionyesha wewe una GBV, Nkanini ni tough nuts na always anafight kudai haki yake kwa push back 🔙 sio kusubiria politicians waje na maamuzi, heshimu wanawake maana mama yako ni mwanamke
Feminist hua unajitahidi kupambania Sana wenzako.
 
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.

Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?

View attachment 2484579
Polisi wana mtindio wa mgongo
 
Sijui niseme kweli tulikuwa bado kujitawala au niseme tuna mambumbu wengi sana au sijui niseme tunashida gani hapa nchini! Hawa ndiyo kucha wanalera uzi humu anaupiga mwingi au chawa wa mama
Yule km siyo mlevi ana jambo lake, kila kitu kina utaratibu hana viongozi. Afinywe pumbu vizuri ijulikane nyeupe na nyeusi
 
Back
Top Bottom