The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ulitaka aandike barua ya maombiKudai haki bila utaratibu ni vurugu
Kuna ofisi na angeenda angepata majibu ya maswali yake, asiporidhika Kuna ofisi za juu mpaka ngazi ya taifa. Vile vile aliposhikwa hapo walikua na viongozi na mwisho angefikisha ujumbe Kwa njia rasmi na sio Kwa njia Ile.Ulitaka aandike barua ya maombi
Kwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal 👑 family ina makontena ya usd, upumbavu at its bestKila kitu na utaratibu wake, mnaofikiria kupata haki Kwa njia za mkato Mara nyingi mnamatatizo ya msongo wa mawazo. Huwa mnahisi Kama mnacheleweshewa mahitaji yenu na kujikuta mnataka shortcuts.
Jifunze kufuata Sheria utaishi Kwa Amani sana
We n kiaz SanaKila kitu na utaratibu wake, mnaofikiria kupata haki Kwa njia za mkato Mara nyingi mnamatatizo ya msongo wa mawazo. Huwa mnahisi Kama mnacheleweshewa mahitaji yenu na kujikuta mnataka shortcuts.
Jifunze kufuata Sheria utaishi Kwa Amani sana
We unasema nini!Kuna ofisi na angeenda angepata majibu ya maswali yake, asiporidhika Kuna ofisi za juu mpaka ngazi ya taifa.
Hiyo ni njia moja wapo ya kudai hakiKila kitu na utaratibu wake, mnaofikiria kupata haki Kwa njia za mkato Mara nyingi mnamatatizo ya msongo wa mawazo. Huwa mnahisi Kama mnacheleweshewa mahitaji yenu na kujikuta mnataka shortcuts.
Jifunze kufuata Sheria utaishi Kwa Amani sana
Yule km siyo mlevi ana jambo lake, kila kitu kina utaratibu hana viongozi. Afinywe pumbu vizuri ijulikane nyeupe na nyeusiNashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
View attachment 2484579
Huyu jamaa vitalis maembe mtu wa ajabu sana aina hii ya watu ndiyo bora liendeWe n kiaz Sana
Sheria ipi imevunjwa hapo?
Ametukana je kuandamana n kosa kisheria
Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
Baada ya miaka hiyo 60 we na babu zako mmefanya nini la maana. We umelelewa na single mazaKwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal 👑 family ina makontena ya usd, upumbavu at its best
Hapo kafanya vurugu gani??Kudai haki bila utaratibu ni vurugu
Kwa hiyo wanawake sio walezi wema,hii inajionyesha wewe una GBV, Nkanini ni tough nuts na always anafight kudai haki yake kwa push back 🔙 sio kusubiria politicians waje na maamuzi, heshimu wanawake maana mama yako ni mwanamkeBaada ya miaka hiyo 60 we na babu zako mmefanya nini la maana. We umelelewa na single maza
Video yenyewe umeiona? Kwenye hayo maandamano sijui ziara watu wote pamoja na polisi walikua na uelekeo mmoja. Huenda huo mwelekeo ulikua ni katika kutatua changamoto inayowakabiri, lakini huyo jamaa akawa ni kama anaharibu utulivu na movement zilizokuwepo Kwa lugha nyepesi ameleta vurugu, kwenye kundi Kama Hilo kuongea ovyo ovyo Kama huyo jamaa no vurugu. Upeo wako na Imani Yako Kama vinakutuma kuwa jamaa alikua sahihi Baki navyo na ulee wanao Kwa mfumo huo wa kujiropokea bila mpangilio.We n kiaz Sana
Sheria ipi imevunjwa hapo?
Ametukana je kuandamana n kosa kisheria
Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
Kama umeenda shule utajua kuwa Kuna utaratibu wa kuongea kwenye makundi na sio kujiongelesha bila mpangilio kisa una mdomo. Huyo jamaa alikua anaongea point lakini Kwa mfumo usio rasmi wakati watu wapo kwenye tukio rasmi la ukaguzi wa miradi ya maji. Kwa lugha nyepesi jamaa alieopoka maneno bila ruhusa na hope ataachiwa kwasababu huenda angechochea vurugu mbeleniHapo kafanya vurugu gani??
Amerusha mawe??
Kuna utaratibu wa uongeaji kwenye makundi ila huwezi kuelewa Kama unahasira.Huyu jamaa vitalis maembe mtu wa ajabu sana aina hii ya watu ndiyo bora liende
Ova
Jamaa alikua na hoja lakini alitakiwa asubiri mwisho wa msafara aombe nafasi ya kuongea na sio kujiropokea hovyo hovyo vile.Yule km siyo mlevi ana jambo lake, kila kitu kina utaratibu hana viongozi. Afinywe pumbu vizuri ijulikane nyeupe na nyeusi